Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angela ni msomi mzuri zao la Zanaki. Labda niseme kuwa ni mtu wa utekelezaji lakini si kiongozi.Angel kairuki ni mzigo kuliko huyo Mathayo nadhani huwa anabebwa bebwa tu Hana lolote kuongea kwake tu tabu
ndio kama watu shida yao ni barabara ya kuchonga na ukawachongea kwanini usipewe bwana.Siasa za bongo bwana ukichonga Barabara tu
Ushapewa kura
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mkuu umekumbuka Amalinzemtoa post umenikumbusha mbali hiyo salamu, "Umofia kwenu"
Umofia Kwenu,
Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah KAIRUKI na “Dr”. David Mathayo (phd yake haieleweki ndio mana ipo kwenye mabano )
Ndugu Mathayo kwa muda mrefu amekua mbunge wa Same magharibi takribani miaka 15 lakini ukiangalia la maana hasa alilofanya hakuna huyu bwana kama walivyo viongozi wengi ni mtu wa timing anasubiri miezi michache kabla ya uchaguzi.
Utamkuta analeta bulldozers ( zake) anachonga barabara halafu ndio kwisha habari. Tatizo linakuja huyu mbunge ana hela na anajua jinsi ya kuzitumia na kiukweli anapendwa na wazee wenye ushawishi hasa maeneo ya vijijini . Tukija kwa Kairuki wengi hawamfahamu hasa maeneo ambayo Mathayo anapendwa kwa hiyo kupita kwenye kura za maoni ni ngumu sana kama atakutana na “Dr”. David Mathayo Msuya.
Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya MONEY VS POWER ... mamlaka za juu CCM wanatakiwa wamkate huyu bwana kabla hajafika kwenye kura za maoni mana akifika hapo Kairuki lazima ashindwe mana huyu bwana Same anaijua nje ndani
N.B Simpigii huyu mama kampeni mana hata mwenyewe kujifanyia kampeni hawezi ninachofanya ni kutaka huyu bwana aondoke mana kumtoa kihalali imekua ngumu ( michezo michafu yote anaijua) na upinzani hakuna matumaini.
Kwani maamuzi ya Nani agombee atafanya Nani mmiliki wa chama au wanachama,kwa maana kila mmoja atawechagua kulingana na vigezo avipendavoUmofia Kwenu,
Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah KAIRUKI na “Dr”. David Mathayo (phd yake haieleweki ndio mana ipo kwenye mabano )
Ndugu Mathayo kwa muda mrefu amekua mbunge wa Same magharibi takribani miaka 15 lakini ukiangalia la maana hasa alilofanya hakuna huyu bwana kama walivyo viongozi wengi ni mtu wa timing anasubiri miezi michache kabla ya uchaguzi.
Utamkuta analeta bulldozers ( zake) anachonga barabara halafu ndio kwisha habari. Tatizo linakuja huyu mbunge ana hela na anajua jinsi ya kuzitumia na kiukweli anapendwa na wazee wenye ushawishi hasa maeneo ya vijijini . Tukija kwa Kairuki wengi hawamfahamu hasa maeneo ambayo Mathayo anapendwa kwa hiyo kupita kwenye kura za maoni ni ngumu sana kama atakutana na “Dr”. David Mathayo Msuya.
Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya MONEY VS POWER ... mamlaka za juu CCM wanatakiwa wamkate huyu bwana kabla hajafika kwenye kura za maoni mana akifika hapo Kairuki lazima ashindwe mana huyu bwana Same anaijua nje ndani
N.B Simpigii huyu mama kampeni mana hata mwenyewe kujifanyia kampeni hawezi ninachofanya ni kutaka huyu bwana aondoke mana kumtoa kihalali imekua ngumu ( michezo michafu yote anaijua) na upinzani hakuna matumaini.
Kwa hao wawili sidhani kama ana size yake labda. Ikitokea mathayo kakatwa kabla ya kura za maoni hapo ndio huyu bwana atakua na nafasiMbona bandiko lako halimzungumzii Dr Eddison Lubua kama mmojawapo wa wagombea wa jimbo hilo? Usimu-underate huyo jamaa.
Ana uhusiano na mzee Mh Waziri Mkuu mstaafu Cleopa David Msuya?Anaitwa David Cleopa Mathayo Msuya
Sasa mkuu unaijua "Connection" ya Angela Kairuki? Hiyo ya Ex-PM cha mtoto.Ilo jimbo atarudishiwa na uongozi wa juu wa ccm hawatomchezea rafu hata kidgo kwa heshima ya baba yake waziri mkuu mstaafu cleopa msuya
Anabebwa bure?Angel kairuki ni mzigo kuliko huyo Mathayo nadhani huwa anabebwa bebwa tu Hana lolote kuongea kwake tu tabu
Si unajua Angel ana rangi ya mtume lazima apewe Jimbo na sikuhizi ukiwa chama tawala ni kutangazwa tu. So atapitishwa na kushinda tuAnabebwa bure?
Shida sio kutangazwa anakutana na mshindani ambaye ni MTAALAM wa mahovio-hovio, forgery wa hatari , mzee wa takrima ...na sasa amewajengea ofisi Ccm same mjini mpya haina hata miezi miezi miwiliSi unajua Angel ana rangi ya mtume lazima apewe Jimbo na sikuhizi ukiwa chama tawala ni kutangazwa tu. So atapitishwa na kushinda tu
Lakini sikuhizi ili upitishwe lazima sio watu wanakupigia jina linatoka juu. Angel aendelee tu na viti maalumu maana Yuko nyororo nyororo flani.Shida sio kutangazwa anakutana na mshindani ambaye ni MTAALAM wa mahovio-hovio, forgery wa hatari , mzee wa takrima ...na sasa amewajengea ofisi Ccm same mjini mpya haina hata miezi miezi miwili
Akipewa viti maalum tena huoni kama watu wata ? Zaidi mana kiutendaji sio kwamba ame- performLakini sikuhizi ili upitishwe lazima sio watu wanakupigia jina linatoka juu. Angel aendelee tu na viti maalumu maana Yuko nyororo nyororo flani.
Ila wengine ka hao wao wanabebwa bebwa tu vile wazee wao Wana connection kubwa. Ila hata hvo viti maalumu viwe na ukomo kupisha wengine nafasiAkipewa viti maalum tena huoni kama watu wata ? Zaidi mana kiutendaji sio kwamba ame- perform