Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umaskini, Elimu na utamaduni (nchi nyingine mtu ambaye ni cheap kuniniliwa anaisababishia familia yake aibu sana ) hivi ndio vinafanya iwe rahisi watu kufika beiNafikiri ipo haja ya jamii kubadirika,Lakini wakiendelea kuishi kwa kununulika mithili ya Vitungu ama vitumbua sokoni,Hakika jamii itaangamia tu
Duh, hapa umemaliza maana hata mimi sikuwa nafahamu...na hapo mleta uzi anavyosema anapendwa, ana ushawishi, ana pesa nilibaki njia panda.Anaitwa David Cleopa Mathayo Msuya
Kuwa mtoto wa Msuya hakulazimishi jina kuwa la Msuya. Angalizo hilo nakupa.Anaitwa David Cleopa Mathayo Msuya
Umaskini, Elimu na utamaduni (nchi nyingine mtu ambaye ni cheap kuniniliwa anaisababishia familia yake aibu sana ) hivi ndio vinafanya iwe rahisi watu kufika bei
Bado hamjaanza nyungu season 2Umofia Kwenu,
Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah KAIRUKI na “Dr”. David Mathayo (phd yake haieleweki ndio mana ipo kwenye mabano )
Ndugu Mathayo kwa muda mrefu amekua mbunge wa Same magharibi takribani miaka 15 lakini ukiangalia la maana hasa alilofanya hakuna huyu bwana kama walivyo viongozi wengi ni mtu wa timing anasubiri miezi michache kabla ya uchaguzi.
Utamkuta analeta bulldozers ( zake) anachonga barabara halafu ndio kwisha habari. Tatizo linakuja huyu mbunge ana hela na anajua jinsi ya kuzitumia na kiukweli anapendwa na wazee wenye ushawishi hasa maeneo ya vijijini . Tukija kwa Kairuki wengi hawamfahamu hasa maeneo ambayo Mathayo anapendwa kwa hiyo kupita kwenye kura za maoni ni ngumu sana kama atakutana na “Dr”. David Mathayo Msuya.
Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya MONEY VS POWER ... mamlaka za juu CCM wanatakiwa wamkate huyu bwana kabla hajafika kwenye kura za maoni mana akifika hapo Kairuki lazima ashindwe mana huyu bwana Same anaijua nje ndani
N.B Simpigii huyu mama kampeni mana hata mwenyewe kujifanyia kampeni hawezi ninachofanya ni kutaka huyu bwana aondoke mana kumtoa kihalali imekua ngumu ( michezo michafu yote anaijua) na upinzani hakuna matumaini.
Ndivyo mlivyoaminishwa hivyo. Sio mtoto wa Cleopa. Uzushi tuDr Mathayo ni Daktari wa wanyama na alisoma SUA,pia ni mtoto wa Cleopa Msuya
he is my close friendNdivyo mlivyoaminishwa hivyo. Sio mtoto wa Cleopa. Uzushi tu
Yaani ufahamu umuhimu wa wizara ya uwekezaji kwenye kusukuma maendeleo kwa taifa?Kairuki miaka yote minne anahamishwa wizara tu.... hakuna kitu pale hata wizara aliyonayo sasa kapewa tu na sijui kama hiyo wizara inasaidia nini kusukuma maendeleo kwa Taifa.
Ndugai tu ana 20yrs ya Ubunge Kongwa na bado anataka tena !!Aneshakaa miaka 15 haitoshi?
Angela Kairuki, nadhani Jimbo la Ikulu linamtosha....atateuliwa tena !Duh, hapa umemaliza maana hata mimi sikuwa nafahamu...na hapo mleta uzi anavyosema anapendwa, ana ushawishi, ana pesa nilibaki njia panda.
Kairuki atafute tu "malisho" mengine.
Hiyo kauli ya kupika aliitoa kwa kipare maumivu yakawa makubwa kwa wasikilizaji kuliko angeitoa kwa kiswahiliWote wana nafasi ila itategemea CCM wanaamuaje hii.
Labda nikuambie kinachoweza kufanya Kairuki asiwe mbunge kamani kweli atagombea ni kwa sbb huyo mama hagawi pesa mtaani na hilo linaweza kumgharimu kwa kuwa mwenzake anagawa na wajumbe wanataka pesa au tuite Rushwa.
Huyo mama hana timu ya kumsaidia wenzake wamepanga timu na zina fedha nyingi.
Huyo mama atabebwa na jamii kwa kusaidia miradi ya afya, mafuriko,michezo nk.
Mathayo David anaweza kuangushwa na haya;
1.Kiburi au jeuri ya pesa,toka amekuwa mbunge wetu amekuwa na dharau na kusema pesa zake zinaweza kuchemsha makande.
Makande ni chakula cha asili upareni chenye mchanganyiko wa mahindi yaliyopukuchuliwa na Maharage au njugumawe, ili kiive kinahitaji nishati kubwa kama magogo, kuni au mkaa.
Hili litamwangusha asubuhi kwani wasee wa kipare hawapendi mazereu avae.
2.Matusi ya rejareja.
Ni kama ameshajua ataangukia pua, akiwa kwenye mikutano ya dharura aliyokuja kuifanya baada ya miaka minne iliyopita amekuwa akiwatukana waziwazi wanatajwakuwa wapinzani wake wenye nia jimboni, hii inasababisha wengi kumchukia mwenyewe na hivyo wananchi wanaona huyu anayetukanwa atatufaa kwani mti wenye matunda ndiyo upigwao mawe.
Mf akiwa Kata ya Makanya kwenye uchaguzi mdogo alisema kwawa kuna watu wanabonyeza ndizi shambani kwake kuona kama zimeiva.
Kauli hizo ziliwaudhi wana wa kaya na wanamsubiria kwenye penalt kwa kuwaita ndizi.
3.Jamaa hajawahi hata siku moja kuhudhuria vikao vya baraza Halmashauri licha ya kuwa mjumbe halali wa vikao hivyo na hatoi taarifa kwa kutokuhuria.
Kuna muda alikuwa anatafutwa hadi bungeni na uzi wake pia upo humu jukwaani.
4.Hajawahi kuhudhuria vikao vya District Consultative Council DCC vinavyofanyika mara mbili kila mwaka, zidisha mara miaka mitano.
5.Hajawahi kuhudhuria hata kikao kimoja kati ya vikao 10 vya Kamati ya ushauri ya mkoa RCC, mh mama Mgwira amemtafuta hadi amechoka kwa sbb wilaya ya Same ni kubwa na alitakiwa wasaidiane na DC na DED kuhudumia wananchi, jamaa haendi hata vikao vya bodi ya barabara na ukizingatia Same miundombinu ni mibovu sana.
6.Toka tumemchagua 2015 amefanya ziara moja tu kwa miaka mitano baada ya katibu mkuu wa CCM Bashiru Ali kupiga mkwara kwa wabunge wanaosinzia na kutokuonekana bungeni na jimboni.
7.Licha ya kuwa na ofisi ya Mbunge hapa jimboni Same jamaa hajawahi kuingia ktk ofisi hiyo wala kusikiliza kero za wananchi kokote, ofisi ipo haina hata mhudumu licha ya bunge kutenga fesha za vifaa na uendeshaji wa ofisi hiyo.
Kiufupi tunasubiri ccm iteue mgombea aliye potential.
Kwa sasa tusubiri kipenga cha CCM tumalize mchezo.
Umofia Kwenu,
Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah KAIRUKI na “Dr”. David Mathayo (phd yake haieleweki ndio mana ipo kwenye mabano )
Ndugu Mathayo kwa muda mrefu amekua mbunge wa Same magharibi takribani miaka 15 lakini ukiangalia la maana hasa alilofanya hakuna huyu bwana kama walivyo viongozi wengi ni mtu wa timing anasubiri miezi michache kabla ya uchaguzi.
Utamkuta analeta bulldozers ( zake) anachonga barabara halafu ndio kwisha habari. Tatizo linakuja huyu mbunge ana hela na anajua jinsi ya kuzitumia na kiukweli anapendwa na wazee wenye ushawishi hasa maeneo ya vijijini . Tukija kwa Kairuki wengi hawamfahamu hasa maeneo ambayo Mathayo anapendwa kwa hiyo kupita kwenye kura za maoni ni ngumu sana kama atakutana na “Dr”. David Mathayo Msuya.
Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya MONEY VS POWER ... mamlaka za juu CCM wanatakiwa wamkate huyu bwana kabla hajafika kwenye kura za maoni mana akifika hapo Kairuki lazima ashindwe mana huyu bwana Same anaijua nje ndani
N.B Simpigii huyu mama kampeni mana hata mwenyewe kujifanyia kampeni hawezi ninachofanya ni kutaka huyu bwana aondoke mana kumtoa kihalali imekua ngumu ( michezo michafu yote anaijua) na upinzani hakuna matumaini.
Nilidhani wewe ni mwandamizi huko CCM, haulijui hilo?Ina maana kazi Sasa Ni kuwapa vyeo tu watoto wote wa waliokuwa Viongozi kwa heshima za wazazi wao? Ndio kazi tunayotakiwa kufanya Kama chama na Nchi?
Umofia Kwenu,
Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah KAIRUKI na “Dr”. David Mathayo (phd yake haieleweki ndio mana ipo kwenye mabano )
Ndugu Mathayo kwa muda mrefu amekua mbunge wa Same magharibi takribani miaka 15 lakini ukiangalia la maana hasa alilofanya hakuna huyu bwana kama walivyo viongozi wengi ni mtu wa timing anasubiri miezi michache kabla ya uchaguzi.
Utamkuta analeta bulldozers ( zake) anachonga barabara halafu ndio kwisha habari. Tatizo linakuja huyu mbunge ana hela na anajua jinsi ya kuzitumia na kiukweli anapendwa na wazee wenye ushawishi hasa maeneo ya vijijini . Tukija kwa Kairuki wengi hawamfahamu hasa maeneo ambayo Mathayo anapendwa kwa hiyo kupita kwenye kura za maoni ni ngumu sana kama atakutana na “Dr”. David Mathayo Msuya.
Hapa ndipo inapokuja ile dhana ya MONEY VS POWER ... mamlaka za juu CCM wanatakiwa wamkate huyu bwana kabla hajafika kwenye kura za maoni mana akifika hapo Kairuki lazima ashindwe mana huyu bwana Same anaijua nje ndani
N.B Simpigii huyu mama kampeni mana hata mwenyewe kujifanyia kampeni hawezi ninachofanya ni kutaka huyu bwana aondoke mana kumtoa kihalali imekua ngumu ( michezo michafu yote anaijua) na upinzani hakuna matumaini.
Mathayo ni MAFIOSO (Capo di tutti Capi) ... NYAMELA HATUFAIYaani wewe umekomaa tu huyi Bwana aondoke. Tena huku ukikiri kuwa anakubalika ktk jimbo lake na analijua nje ndani. Sasa shida yako wewe nink kama mtu anakubalika na wale wanaomwongoza na wanampigia kura halali? Unapigia chapuo mtu ambaye baadae unasema hata yeye mwenyewe hawezi kujipigia kampeni. Maana yake hana ama hawezi kuongea na kushawishi wananchi kwa hoja. Sasa huyo mtu wa hivyo anawezaje kuwatetea wananchi?