emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
Atatoka kwa utaratibu kama atashindwa ila sio kwa kuchezewa rafuIna maana kazi Sasa Ni kuwapa vyeo tu watoto wote wa waliokuwa Viongozi kwa heshima za wazazi wao? Ndio kazi tunayotakiwa kufanya Kama chama na Nchi?
Sasa Hapo wataamua wana same wenyew.....Aneshakaa miaka 15 haitoshi?
Ok, nilidhani CHADEMA 2015 walishindwa Mwanga tu kwa kilimanjaro kumbe na Same Magharibi walichapwaHakushindwa kuna ABRACADABRA alicheza
Kazi yenu kubwa nyinyi ni kupiga mapambio ili watoto wa wazee wa chama waendelee kula matunda ya nchi.Ina maana kazi Sasa Ni kuwapa vyeo tu watoto wote wa waliokuwa Viongozi kwa heshima za wazazi wao? Ndio kazi tunayotakiwa kufanya Kama chama na Nchi?
Duuuhhh,hata hivyo Same harudi tena hata yeye anajua vizuriPia ana Msc na Phd magumashi
Ni mtoto wa waziri mkuu mstafu??Anaitwa David Cleopa Mathayo Msuya
Believe me kama ni mtoto wa Msuya ataachiwa hilo Jimbo, Angela atapewa lingine.
KumbeAnaitwa David Cleopa Mathayo Msuya
Anjela anagombea Kawe!Anjela Kairuki si mwepesi ki vile
Atapita bila kupingwa kama mwenyekiti atakavyopitaAnjela anagombea Kawe!