Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Money vs Power, Je Kairuki ataweza kumuondoa “Dkt” David Mathayo

Hafu Kilimanjaro hamna sehemu Kuna miundo mbinu mizuri ya barabara ya lami had huko milimani Kama Same. Naona kuko vizuri huduma zote muhimu zipo
 
Angel kairuki ni mzigo kuliko huyo Mathayo nadhani huwa anabebwa bebwa tu Hana lolote kuongea kwake tu tabu
Angela ni msomi mzuri zao la Zanaki. Labda niseme kuwa ni mtu wa utekelezaji lakini si kiongozi.
 
Mbona bandiko lako halimzungumzii Dr Eddison Lubua kama mmojawapo wa wagombea wa jimbo hilo? Usimu-underate huyo jamaa.
 
Mkuu kwani safari hii kuna kura za maoni? si tumeambiwa tunaojijua tunatosha kuwatumikia wananchi ndiyo tujaze form tu ama nimeelewa vibaya?
 
Kwani maamuzi ya Nani agombee atafanya Nani mmiliki wa chama au wanachama,kwa maana kila mmoja atawechagua kulingana na vigezo avipendavo
 
Mbona bandiko lako halimzungumzii Dr Eddison Lubua kama mmojawapo wa wagombea wa jimbo hilo? Usimu-underate huyo jamaa.
Kwa hao wawili sidhani kama ana size yake labda. Ikitokea mathayo kakatwa kabla ya kura za maoni hapo ndio huyu bwana atakua na nafasi
 
Si unajua Angel ana rangi ya mtume lazima apewe Jimbo na sikuhizi ukiwa chama tawala ni kutangazwa tu. So atapitishwa na kushinda tu
Shida sio kutangazwa anakutana na mshindani ambaye ni MTAALAM wa mahovio-hovio, forgery wa hatari , mzee wa takrima ...na sasa amewajengea ofisi Ccm same mjini mpya haina hata miezi miezi miwili
 
Shida sio kutangazwa anakutana na mshindani ambaye ni MTAALAM wa mahovio-hovio, forgery wa hatari , mzee wa takrima ...na sasa amewajengea ofisi Ccm same mjini mpya haina hata miezi miezi miwili
Lakini sikuhizi ili upitishwe lazima sio watu wanakupigia jina linatoka juu. Angel aendelee tu na viti maalumu maana Yuko nyororo nyororo flani.
 
Lakini sikuhizi ili upitishwe lazima sio watu wanakupigia jina linatoka juu. Angel aendelee tu na viti maalumu maana Yuko nyororo nyororo flani.
Akipewa viti maalum tena huoni kama watu wata ? Zaidi mana kiutendaji sio kwamba ame- perform
 
Akipewa viti maalum tena huoni kama watu wata ? Zaidi mana kiutendaji sio kwamba ame- perform
Ila wengine ka hao wao wanabebwa bebwa tu vile wazee wao Wana connection kubwa. Ila hata hvo viti maalumu viwe na ukomo kupisha wengine nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…