Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Money vs Power, Je Kairuki ataweza kumuondoa “Dkt” David Mathayo

Yaani ufahamu umuhimu wa wizara ya uwekezaji kwenye kusukuma maendeleo kwa taifa?
Sina shida na ulichokisema wewe ila ninashida na Waziri aliyopewa mamlaka pale wizarani kama msimamia sera za wizara husika, Waziri mda mrefu yuko maternity leave tu.
 
Umofia Kwenu,
UMOFIA MWENYEWE!

Usituletee vi ukabila ukabila ambavyo ungeweza kuvi post kwenye whatsapp group lenu la kabila lenu mkajadili mbunge wenu wenyewe.

Anyhow, wabunge wa CCM watachaguliwa na Mwenyekiti wa CCM, sio hela, kura wala jina.

Mwenyekiti wa CCM amesema mtu atakaegombea ambae hategemewi agombee atakuwa punished kwa kutenguliwa cheo alichokuwa nacho.
 
😂 you exposed yourself chief ... By the way Umofia kwenu sio salam ya kabila langu Boss (hukooo kwa kima Obi Okwonko- Igbo)
 
Mathayo apumzike
Jana naambiwa hana nyumba huko Same, eti akienda analala Elephant Motel, Nzoroko na Yasir.
Wathee wa Kipare wanashangazwa Mfumwa wao hana kaya wanamtafuta kama yupo kwenye mahotel.
It is real sad and sickening.
Hii inampa mh Kairuki credit kwa kuonyesha mapenzi ya home sweet home, akienda Same pamoja kuwa ni waziri anafikia kwao Suji au kwake Same mjini na kujichanganya na raia wa upareni na watanzania.
Kiufupi Mathayo hastahili hata kidogo kuvaa viatu vya kifumwa hapa land of ginger, gypsum and Rhino in Mkomazi.
 
Naunga mkono hoja
 
Mpaka sasa hivi hajachukua form
 
Una uhakika same magharibi haina maendeleo?
 
Yaaaa!!!
 
Du nilishasahau kwamba ˜Dr David Mathayo bado yupo mjengoni.
 
Wivu tu! Kwani kuna ubaya gani yeye kuendelea na ubunge? Wacha mama jiwe soigwe asubuhi na mapema! Eti unaweka fungua na funga semi kwenye udaktari wa Mh. Mathayo, utakuwa kajinga wewe, weka kabisa Dr. Maana huyo ni daktari wa wanyama, kasoma Zimbabwe
 
Kushinda kwenye kura za maoni si kigezo cha kuchaguliwa,Mwenyekiti alishasema huko nyuma.Angalia yaliyotokea Songea kwa Damas Ndumbaro alikuwa wanne.
 
Je unamjua vizuri Mathayo? Hakuwahi kusoma Zimbwabwe alisoma Sua akaagushi South Afrika...je unamjua Mathayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…