Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Tundu Lissu apata wadhamini 6893

More video clips and fotos plz
 
Sheria za udhamini zikoje.Isije wakatakiwa wadhamini kati ya 200 na 250 kila mkoa halafu nyie mkajaa watu zaidi ya wanaotakiwa kimkoa.Hatupo tayari kusikia kosa lolote linafanyika kwenye eneo lolote kuelekea kuteuliwa na NEC.
Chadema nao wana sifa.
 
Hii ndio kauli mbiu kuhubiriwa nchi nzima.
 
Yule mtangazaji wa Wasafi fm..alikuwa anasema"Nikisema Magu nyie semeni FOOL"kwa hiyo inasikika MAGU FOOL
 
Hao nimamluki same magharibi chadema haiwezi kushinda hiyo ni ngome yetu ya CCM ,hata Kule mashariki mama yetu kilango hana mpinzani atapita kwa kishindo
mzee acha kukariri zama zimebadilika wananchi hawaitaki tena ccm
 
Labda askari wa usalama barabarani aamuwe kukusamehe tu, lakini akikomaa lazima atapata kosa.

Sheria za udhamini zikoje.Isije wakatakiwa wadhamini kati ya 200 na 250 kila mkoa halafu nyie mkajaza watu zaidi ya wanaotakiwa kimkoa.Hatupo tayari kusikia kosa lolote linafanyika kwenye eneo lolote kuelekea kuteuliwa na NEC.
 
Huyo Tundu Lisu tezina
Mbowe ni ushahidi tosha kuwa CCM ni chama cha majambazi na wauwaji!!
Usiwafanye Watanzania hasa Wapare ni wajinga uwalishe propaganda mfu eti mtetezi wa wanyonge!!
Kwanza lete wasiojulikana waliompiga Lisu marisasi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…