Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Tundu Lissu apata wadhamini 6893

Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Tundu Lissu apata wadhamini 6893

View attachment 1537879
Mbowe akiwasili Same magharibi mapema leo.

Tundu Lissu akiwa jimboni Same magharibi amepata wadhamini 6893. Safari inaendelea.

Ninachukua helicopter chap kuwahi uwanja wa UHURU kuleta updates maana maccm ya humu ni kama yamesusa kutuonyesha zile nyimbo za Samia mama lao!
More video clips and fotos plz
 
Sheria za udhamini zikoje.Isije wakatakiwa wadhamini kati ya 200 na 250 kila mkoa halafu nyie mkajaa watu zaidi ya wanaotakiwa kimkoa.Hatupo tayari kusikia kosa lolote linafanyika kwenye eneo lolote kuelekea kuteuliwa na NEC.
Chadema nao wana sifa.
 
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa mkono wa chuma, hizo elfu saba saba mnazolipwa ili kujenga taswira ya mkulu kukubalika ni kwaajili ya njaa ya muda mfupi tu. Mwalimu Nyerere aliwaita viongozi wa namna hii washenzi na wendawazimu, hebu tumuheshimu na kumuenzi Mwalimu kwa kuachana na watawala wanaotumia mabavu badala ya hekima na busara.

Tusihadaike na utapeli na ulaghai mpya wa CCM, Saa ya ukombozi ni sasa
Hii ndio kauli mbiu kuhubiriwa nchi nzima.
 
Yule mtangazaji wa Wasafi fm..alikuwa anasema"Nikisema Magu nyie semeni FOOL"kwa hiyo inasikika MAGU FOOL
 
Labda askari wa usalama barabarani aamuwe kukusamehe tu, lakini akikomaa lazima atapata kosa.

Sheria za udhamini zikoje.Isije wakatakiwa wadhamini kati ya 200 na 250 kila mkoa halafu nyie mkajaza watu zaidi ya wanaotakiwa kimkoa.Hatupo tayari kusikia kosa lolote linafanyika kwenye eneo lolote kuelekea kuteuliwa na NEC.
 
Tunajua mnamnyemelea Mathayo aletwe, tumewasikia sana na Mgombea wenu Mgonja.
Niwaambie CCM itamleta Mbunge chaguo la wananchi wa Same MAGHARIBI siyo wa hao wajumbe mliokula nao njama.
CCM ni chama la Ukombozi Afrika na Duniani kote imejipambanua kama chama cha kutetea wanyonge kokote walipo.
Hakutakuwepo na kura za huruma, SAME ndiyo THAME, Tutamchagua John Pombe Joseph MAGUFULI son of Afrika .
Huyo Tundu Lisu tezina
Mbowe ni ushahidi tosha kuwa CCM ni chama cha majambazi na wauwaji!!
Usiwafanye Watanzania hasa Wapare ni wajinga uwalishe propaganda mfu eti mtetezi wa wanyonge!!
Kwanza lete wasiojulikana waliompiga Lisu marisasi!!
 
Back
Top Bottom