KERO Same Mjini wizi wa TV umekithiri, mwezi mmoja zimeibiwa TV zaidi ya 30?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mpare na wizi wapi na wapi Mkuu.

Tangu nimezaliwa sijawahi kuona Mpare Mwizi.

Hata serikalini ni ngumu kusikia Mpare akihusishwa na wizi au ufisadi.

Wapare wanamadhaifu mengine ila kwenye suala la haki na kutopenda wizi wanajitahidi.
Yawezekana.Ila,umejumlisha mnoo!Unataka kutueleza kwamba upareni neno wizi/mwizi huwa wanalisoma tu shuleni au kulisikia nyumbani na hawajawahi kushuhudia?Hata wizi wa wanawake/wanaume wa wenzao?
 
Kwa kweli wapare kwa wizi hiyo sifa hawana.
Labda tuseme mchanganyiko na utandawazi inaweza kusababisha
 
Mpare na wizi wapi na wapi Mkuu.

Tangu nimezaliwa sijawahi kuona Mpare Mwizi.

Hata serikalini ni ngumu kusikia Mpare akihusishwa na wizi au ufisadi.

Wapare wanamadhaifu mengine ila kwenye suala la haki na kutopenda wizi wanajitahidi.
Ni kweli mtani zenu ni mambo ya chini ya kitovu tu , hilo halipingiki mkuu.
 
Back
Top Bottom