Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
SanaPolepole ana hoja ya msingi sana. Nchi inahitaji reforms kubwa saana.
SanaPolepole ana hoja ya msingi sana. Nchi inahitaji reforms kubwa saana.
Sasa kwa nini investor wakubwa wa China na Urusi ni Westerners?Mrusi afrika ni kama mchina,kula nikule sio kama wezi wa western
matatizo yenu ni kila kitu kuwa negative tu,tafiti kwanza huu mradi umekujaje ndio uje kutoa lawamaKatika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo muhimu katika uundaji wa silaha za maangamizi makubwa. Kwa taifa kama Tanzania, ambalo linaendelea kutafuta mwelekeo wa kiuchumi kupitia diplomasia ya uchumi, uamuzi huu unazua maswali mengi kuhusu usalama wa taifa, uwazi wa mikataba, na hatari za kidiplomasia.
Zaidi ya hayo, hakuna taarifa ya kutosha kwa wananchi kuhusu mkataba huu. Ni nani aliyehusika? Ni kwa muda gani? Ni kwa masharti gani? Je, serikali imefanya tathmini ya kina kuhusu athari za kimazingira, kijamii, na kiusalama? Na je, tuna uwezo wa kusimamia kwa karibu shughuli za Warusi kuhakikisha kuwa uranium yetu haitumiki kwa malengo mengine yasiyojulikana?
Uranium si mchanga wa ujenzi ni silaha ya kisiasa na kiusalama
View attachment 3424831.
Kumbe ndo maana kiwanda kipo hivi,mwekezaji ni kutoka mashariki?Uranium si mchanga wa ujenzi ni silaha ya kisiasa na kiusalama
Mimi nilijua banda la kufugia nguruwe.Kumbe ndo maana kiwanda kipo hivi,mwekezaji ni kutoka mashariki?
Wakati wa Bwawa la JNHPP kelele za mazingira zilikuwa kibao kwasababu mradi ulikuwa 100% wa serikali. Sasa Uranium husikii kelele pamoja na pori lote hilo sehemu ya mradi.Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo muhimu katika uundaji wa silaha za maangamizi makubwa. Kwa taifa kama Tanzania, ambalo linaendelea kutafuta mwelekeo wa kiuchumi kupitia diplomasia ya uchumi, uamuzi huu unazua maswali mengi kuhusu usalama wa taifa, uwazi wa mikataba, na hatari za kidiplomasia.
Zaidi ya hayo, hakuna taarifa ya kutosha kwa wananchi kuhusu mkataba huu. Ni nani aliyehusika? Ni kwa muda gani? Ni kwa masharti gani? Je, serikali imefanya tathmini ya kina kuhusu athari za kimazingira, kijamii, na kiusalama? Na je, tuna uwezo wa kusimamia kwa karibu shughuli za Warusi kuhakikisha kuwa uranium yetu haitumiki kwa malengo mengine yasiyojulikana?
Uranium si mchanga wa ujenzi ni silaha ya kisiasa na kiusalama
View attachment 3424831.
Mimi nichunguze tena? Wakati kila kitu kilipaswa kuwekwa wazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu.matatizo yenu ni kila kitu kuwa negative tu,tafiti kwanza huu mradi umekujaje ndio uje kutoa lawama
Wewe unafikiri watasema nini?Tanzania atomic energy wanasemaje
Ova
Je, Marekani Itavumilia?Kwahiyo ulitaka tusichimbe nyie tunawajua umeishapata bahasha tayari umeanza kelele kama zile za bomba la mafuta ya uganda kama imekuuma andamana tuache kidogo kazi nautu.
Sikia ndugu zipo taasisi ambazo ndio zinaruhusu vitu vya hivi kuendelea,wewe hujui hizo taasisi ndio zenye mamlaka,tafiti utapewa kila taarifa tena ziko wazi kwenye tovuti,tupunguze kulaumu tuuuuu,kila kitu lawamaMimi nichunguze tena? Wakati kila kitu kilipaswa kuwekwa wazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Yaani hawa kila kitu lawama,nadhani hata kwa wake zao ni hivihivi tu lawama mtindo mmojaKwahiyo ulitaka tusichimbe nyie tunawajua umeishapata bahasha tayari umeanza kelele kama zile za bomba la mafuta ya uganda kama imekuuma andamana tuache kidogo kazi nautu.
Kama taarifa zipo mtandaoni. Je, unaweza ukaniambia ni Watanzania wangapi wenye access na huduma za mitandao hapa nchini?Sikia ndugu zipo taasisi ambazo ndio zinaruhusu vitu vya hivi kuendelea,wewe hujui hizo taasisi ndio zenye mamlaka,tafiti utapewa kila taarifa tena ziko wazi kwenye tovuti,tupunguze kulaumu tuuuuu,kila kitu lawama