Samia Aifungulia Russia Mlango wa Uranium Namtumbo: Je, Marekani Itavumilia?

Hiyo pesa anatoa wapi kuleta Africa? CCM bwana kweli vilaza
Warusi ,wachina na waarabu kwa sasa ndio wanatufaa waafrika kuanzia mikopo yao au uwekezaji au biashara

Hawana masharti magumu na ya kisenfe kama nchi za Marekani na Ulaya oooh halalisheni kwanza ushoga ,usagaji na ndoa za jinsia moja ndio tuje kuwekeza au kufanya biashara na nyie waafrika

China ,urusi na waarabu huo usenge hawana

Karibuni warusi Tanzania

Tunawakaribisha warusi kwa mikono miwili
 
Mabadiliko sio kwenye kila kitu.Hakuna jambo la kila mtu duniani.Lazima kuwe na wachache wanaolifanyia maamuzi aidha kwa manufaa ya wengi au wachache.Wabongo walivyo wajuaji mkiwekewa kila kitu wazi hakuna kitakachofanyika.
Acha ujinga wewe, kwenye jambo lolote linalohusu maslahi mapana ya Taifa kwa ujumla lazima kuwe na Trasparent.
 
Warusi ,wachina na waarabu kwa sasa ndio wanatufaa waafrika kuanzia mikopo yao au uwekezaji au biashara

Hawana masharti magumu na ya kisenfe kama nchi za Marekani na Ulaya oooh halalisheni kwanza ushoga ,usagaji na ndoa za jinsia moja ndio tuje kuwekeza au kufanya biashara na nyie waafrika

China ,urusi na waarabu huo usenge hawana

Karibuni warusi Tanzania

Tunawakaribisha warusi kwa mikono miwili
For every action, there is an equal and opposite reaction.
 
Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo muhimu katika uundaji wa silaha za maangamizi makubwa. Kwa taifa kama Tanzania, ambalo linaendelea kutafuta mwelekeo wa kiuchumi kupitia diplomasia ya uchumi, uamuzi huu unazua maswali mengi kuhusu usalama wa taifa, uwazi wa mikataba, na hatari za kidiplomasia.

Zaidi ya hayo, hakuna taarifa ya kutosha kwa wananchi kuhusu mkataba huu. Ni nani aliyehusika? Ni kwa muda gani? Ni kwa masharti gani? Je, serikali imefanya tathmini ya kina kuhusu athari za kimazingira, kijamii, na kiusalama? Na je, tuna uwezo wa kusimamia kwa karibu shughuli za Warusi kuhakikisha kuwa uranium yetu haitumiki kwa malengo mengine yasiyojulikana?

Uranium si mchanga wa ujenzi ni silaha ya kisiasa na kiusalama
View attachment 3424831.​
Hujui lolote,uraniam baada ya kurutubishwa ndipo inapokuwa hatari,bila kuirutubisha jipandie,ndizi mihogo kisamvu jilie ushibe ukalale!
 
Marekani amekuwa mshirika wetu wa muda mrefu. Amefanya mambo mengi ya kimaendeleo kwa jamii ya watu Watanzania hivyo mkukaribisha adui wake namba moja kwenye Taifa letu, kuna uwezekano mkubwa wa kuathiri diplomasia yetu na Marekani.
Sahihi tuna muda mrefu naye Marekani kama ndugu na rafiki wa karibu lakini toka aweke masharti kuwa lazima Africa tukubali usenge wao kuwa tukubali mambo ya ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja kupata misaada au uwekezaji au biashara Africa tumeingia nyongo hatuna hamu nao kabisa

Sababu hayo wanataka ni kinyume na mila na desturi na maadili ya kiafrika

Kwetu kwa sasa China na urusi na uarabuni kwetu ndio wanaonekana watu.muhimu sana kwetu watanzania
 
Heri amepewa Russia nilidhani anapewa Australia atuibie kama mabeberu wenzie wa Magharibi wanavyotuibia madini yetu bila huruma.
 
Sasa kwa nini investor wakubwa wa China na Urusi ni Westerners?
Taja hao investors wakubwa wa Westerners walioko China na Russia.

Hakuna bidhaa ambazo wawekezaji kutoka nchi za Magharibi wamewekeza China ambazo China hawana domestic manufacturers au service providers

Wameenda kuinvest kwa sababu za kimasoko na supply chain
​
 
Hujui lolote,uraniam baada ya kurutubishwa ndipo inapokuwa hatari,bila kuirutubisha jipandie,ndizi mihogo kisamvu jilie ushibe ukalale!
Soma, elewa alafu ndiyo hujibu.

Je, Urusi haina vinu vya kurutubisha Uranium?
 
Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo muhimu katika uundaji wa silaha za maangamizi makubwa. Kwa taifa kama Tanzania, ambalo linaendelea kutafuta mwelekeo wa kiuchumi kupitia diplomasia ya uchumi, uamuzi huu unazua maswali mengi kuhusu usalama wa taifa, uwazi wa mikataba, na hatari za kidiplomasia.

Zaidi ya hayo, hakuna taarifa ya kutosha kwa wananchi kuhusu mkataba huu. Ni nani aliyehusika? Ni kwa muda gani? Ni kwa masharti gani? Je, serikali imefanya tathmini ya kina kuhusu athari za kimazingira, kijamii, na kiusalama? Na je, tuna uwezo wa kusimamia kwa karibu shughuli za Warusi kuhakikisha kuwa uranium yetu haitumiki kwa malengo mengine yasiyojulikana?

Uranium si mchanga wa ujenzi ni silaha ya kisiasa na kiusalama
View attachment 3424831.​
Mkuu naomba niwe tofauti na wewe kuhusu Samia na huu mradi.Toka mwaka 2010 au 2011 hawa warusi walikuwepo na huu mradi.
 
Sahihi tuna muda mrefu naye Marekani kama ndugu na rafiki wa karibu lakini toka aweke masharti kuwa lazima Africa tukubali usenge wao kuwa tukubali mambo ya ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja kupata misaada au uwekezaji au biashara Africa tumeingia nyongo hatuna hamu nao kabisa

Sababu hayo wanataka ni kinyume na mila na desturi na maadili ya kiafrika

Kwetu kwa sasa China na urusi na uarabuni kwetu ndio wanaonekana watu.muhimu sana kwetu watanzania
Je, una uhakika gani wanaweza ku-offer misaada na maendeleo aliyokuwa anaitoa Mmerakani kwa Tanzania karibia katika sekta zote.
 
Sasa kama hili nalo unarudisha lawama kwa Russia itabidi urudi darasani upya
Kurudi darasani sio ujinga ni jambo jema sana.

Lakini lazima uelewe, hakuna Taifa kubwa duniani lenye rafiki au adui wa kudumu milele, kinacho matter ni maslahi binafsi kwa Taifa hilo.
 
Marekani wanahusikaje kwenye uranium iliyoko Tanzania? Acha fikira za kitumwa.

Russia imeinvest uchimbaji wa madini ya uranium kwenye mataifa yenye deposits kubwa ya uranium kuliko Tanzania kama Namibia, Kazakhastan na Niger

Russia wamefanya investment ya kurutubisha uranium Vietnam, Uturuki, Egypt, Hungary, Mali Na Marekani haijaishobokea

Itakuwa sembuse vi uranium uchwara vya Tanzania! Akili za kitumwa mbaya sana
​
 
Back
Top Bottom