Samia Aifungulia Russia Mlango wa Uranium Namtumbo: Je, Marekani Itavumilia?

matatizo yenu ni kila kitu kuwa negative tu,tafiti kwanza huu mradi umekujaje ndio uje kutoa lawama
 
Wakati wa Bwawa la JNHPP kelele za mazingira zilikuwa kibao kwasababu mradi ulikuwa 100% wa serikali. Sasa Uranium husikii kelele pamoja na pori lote hilo sehemu ya mradi.

Urusi na Marekani hawaingiliani kwenye maslahi ni kama Simba na Chui
 
Wanaojua ni Tume ya Taifa ya Mionzi,TAEC!
Lazima itakuwa imehusishwa kuiwezesha Serikali kuingia Mikataba na Russia juu ya uchimbaji wa Madini hayo.
Marekani na mataifa mengine yana monitor kama matumizi ya mradi ni kwa ajili ya shughuli za kiraia tu.
Kuhusu mazingira huenda Environment Impact Assessment itakuwa imefanywa kujiridhisha kwamba mionzi hiyo haitaathiri watu,wanyama na mazingira kwa ujumla wakati wa uchimbaji.
 
Mimi nichunguze tena? Wakati kila kitu kilipaswa kuwekwa wazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Sikia ndugu zipo taasisi ambazo ndio zinaruhusu vitu vya hivi kuendelea,wewe hujui hizo taasisi ndio zenye mamlaka,tafiti utapewa kila taarifa tena ziko wazi kwenye tovuti,tupunguze kulaumu tuuuuu,kila kitu lawama
 
Sikia ndugu zipo taasisi ambazo ndio zinaruhusu vitu vya hivi kuendelea,wewe hujui hizo taasisi ndio zenye mamlaka,tafiti utapewa kila taarifa tena ziko wazi kwenye tovuti,tupunguze kulaumu tuuuuu,kila kitu lawama
Kama taarifa zipo mtandaoni. Je, unaweza ukaniambia ni Watanzania wangapi wenye access na huduma za mitandao hapa nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…