Samia Aifungulia Russia Mlango wa Uranium Namtumbo: Je, Marekani Itavumilia?

Poor timing dunia nzima inaingalia Urusi sio wakati sahihi wa kuwapa miradi ya kimkakati kama hiyo hatuna misuli ya kubishana na watoa misaada na ma-polisi wa dunia , huko ni kutengeneza matatizo mengine na Urusi kama mshirika ana matatizo binafsi mengi na sio wa kumtegemea .
 
Ni Upambvu tu kwa waafrika kujadili nani anatufaa kati ya Mrusi,Mchina au Magharibi.Tungejadili kwa nini sisi hatukui kila siku kiakili ili kuweza kujitegemea.Barabara kilomita 8 anapewa mchina si upambavu huu.Mimi kwangu awe mchina,Mwamerika,Mrusi au Mjerumani ni mwizi kwa kuwa hakuja anayechimba madini na kujenga viwanda Africa wanapeleka kwao.Hivyo wafrika tuamke
 
Kwa nature ya akili zao, hili hawawezi kulielewa.
 
Marekani waliokuwepo na walishindwa
 
Suala la urani na urusi hapa tz nilisikia muda, nadhani awamu ya nne
 
Acha Matusi wewe KINABO!
 
Tanzania hatuna Uranium level ya kushawishi makampuni ya nchi nyingi kushindania deal.
 
Urusi na Uranium si ndo uwanja wa nyumbani, ulitaka walete viwanda vya magari??Ndo mambo yao hayo
 
Hizi ndizo reforms za maana watanzania wanzozitaka na siyo zile za akina Heche.Tanzania now becomes a nuclear nation. Na punde tutazindua kiwanda cha kuzalisha microchips.
 
Hii project ilikuwepo tangu 2013 na tathmini ya mazingira ilifanyika, na pia eneo la Selous linalohusishwa na mradi liliondolewa rasmi na UNESCO as an area within the Heritage Site.
si kweli hii project ilikuwepo tokea 2007 ndo walianza kuingia...na kilisimamishwa mara kazaa kutokana na migogoro ya mazingira....eneo hili lilifanywa kua mbuga rasmi na magu hivyo mradi ulisimama tena kipind cha chuma. eneo hili lina vitalu mbalimbali vya mabwanyenye wamejimegea kwa hiyo kuna tafiti nyingi nyingi watu wanafanya kwa hili pori, mipaka ya mbuga imesogezwa mbele kabisa kipind hiki cha b mkubwa. all in all ni mradi uliokaa kimagumashi sana kwenye suala la environmental impact assesment yake kuna maswali mengi ambayo hayana majibu sahihi..inaonekana ni kitalu cha bwanyenye mmoja hiv mstaafu.
 
Sasa kama wanaokosoa wanakuwa enemies unategemea nini.
 
Je, Marekani Itavumilia?
Kwani umetumwa kuwasemea U.S!, kwanini usiseme France atasema nini, au yeye ndio benchmark wa kila kitu?

Kwani hizo sector na mineral nyingine walizonazo hapa tz mbona hausemi
 
Kwani umetumwa kuwasemea U.S!, kwanini usiseme France atasema nini, au yeye ndio benchmark wa kila kitu?
Hivi warusi waliokuwa mbeya wakati wa mwalimu walitufukuzwa kwa sababu gani? Mimi siamini kama warusi ni watu smart ila muda utasema.Kulikuwa na umuhimu wowote Rais kuzindua kitu cha majaribio? What if project ikifeli na kuna muhuri wa Rais.Nawaza tu
 
Hivi warusi waliokuwa mbeya wakati wa mwalimu walitufukuzwa kwa sababu gani? Mimi siamini kama warusi ni watu smart ila muda utasema.Kulikuwa na umuhimu wowote Rais kuzindua kitu cha majaribio? What if project ikifeli na kuna muhuri wa Rais.Nawaza tu
Kwani masharti ya mkataba wa kupewa msaada kipindi hicho yalikuwa yanatakaje?
 
Nimefanya kazi kampuni ya madini.
Kampuni nyingi tu za madini unazo ona za westerners wanahisa wakubwa ni matajiri toka Asia hasa China.
Kama kampuni gani, nitajie moja tu!! BHP Billiton, Rio Tinto, Anglo American? Barick, Glencore/Xtrata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…