Hili mbona sisi tumelitambua kitambo toka siku alipoapishwa? CCM ilihitaji sana mtu kama huyo kuharakisha kusambaratika kwake kwani, bila mbeleko, asingejikuta hapo alipo.Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe
Hilo mbona liko wazi? Huwezi ukapanda mchicha ukavuna nyanya, ukipanda mchicha unavuna mchicha.Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Kama katiba ya nchi wanayoapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea wana jeuri ya kuisigina sembuse katiba ya chama cha wala rushwa?Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini.
Binafsi sikutazama jinsi eti wajumbe walivokusanywa, kupakiwa kwenye magari na kusafirishwa kama mifugo hadi Dodoma na kufungiwa zizini.Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana.
Halafu hao hao wasema ndioooo na wakitoka hapo wanasifia demokrasia kwa kumthibitisha mtu anayejipendekeza mwenyewe na kujitangaza.Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo,
CCM, CCM, CCM...kidumu chama cha mapinduzi! Sasa waulize wajumbe maana ya hilo jina Chama cha Mapinduzi. mbona utacheka!Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao.
Yale yale ya bungeni! Mtu kama vile kakurupuka usingizini na NDIOOOOOOOOO!Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.
Kila nikiangalia picha za huko Dodoma, nabaki na cheka tu. Ukumbi mkubwa unaonekana hauna tofauti na zoo la wanyama...wana CCM.Hii ni disaster. Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa.
Hiyo ndio CCM! Mtu anakurupuka kama aliyezinduka usingizini na kupaza sauti NDIOOOO bila hata kujua hiyo ndio inahusu nini.Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Tutabadili Katiba kuondoa ukomo na hakuna atakayetuzuiaPole Sana...
Samia ni Rais kupitia chama Cha Mapinduzi mpaka 2030
Watu gani hawajapenda?Maana kama ni wajumbe wamepitisha azimio kwa kauli Moja.Watu hawajapenda kabisaaa uhuni uliofanywa
Kabisa kabisa !Mzee wa forecasting ya minada kafutika kwenye medani kabisa๐
Mimi huwa nastaabishwa na Viongozi wa CCM Zanzibar.Wakishavuka bahari na kutia mgumu Bara wanakuwa wakimya mno.Lakini wakiwa kule kwao watoa vitisho vya hatari
Aaaa ccm Zanzibar mwinyi atapita bila wiziUmeeleza kinyume chake !
Mwinyi atapata shida kidogo huko ZNZ lakini huku Jamhuri ya Muungano ni mserereko tu kama kawaida ๐ !
Ohooo Kumbe !Aaaa ccm Zanzibar mwinyi atapita bila wizi
Wajumbe wote wakifika mbele ya Mwenyekiti wanakuwa ni wadogo kama kidonge cha piriton !Hili mbona sisi tumelitambua kitambo toka siku alipoapishwa? CCM ilihitaji sana mtu kama huyo kuharakisha kusambaratika kwake kwani, bila mbeleko, asingejikuta hapo alipo.
Hilo mbona liko wazi? Huwezi ukapanda mchicha ukavuna nyanya, ukipanda mchicha unavuna mchicha.
Kama katiba ya nchi wanayoapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea wana jeuri ya kuisigina sembuse katiba ya chama cha wala rushwa?
Binafsi sikutazama jinsi eti wajumbe walivokusanywa, kupakiwa kwenye magari na kusafirishwa kama mifugo hadi Dodoma na kufungiwa zizini.
Halafu hao hao wasema ndioooo na wakitoka hapo wanasifia demokrasia kwa kumthibitisha mtu anayejipendekeza mwenyewe na kujitangaza.
CCM, CCM, CCM...kidumu chama cha mapinduzi! Sasa waulize wajumbe maana ya hilo jina Chama cha Mapinduzi. mbona utacheka!
Yale yale ya bungeni! Mtu kama vile kakurupuka usingizini na NDIOOOOOOOOO!
Kila nikiangalia picha za huko Dodoma, nabaki na cheka tu. Ukumbi mkubwa unaonekana hauna tofauti na zoo la wanyama...wana CCM.
Hiyo ndio CCM! Mtu anakurupuka kama aliyezinduka usingizini na kupaza sauti NDIOOOO bila hata kujua hiyo ndio inahusu nini.
Si ndiyo kama hivyo kashapatikana?Ccm ina wenyewe, ccm ni kikoba cha watu ,wao ndo wanajua wanampataje wanae muhitaji kushika kijiti.
Sio 'akili' ya kuhoji bali 'ujasiri' wa kuhoji.Hili linaeleza zaidi, kwamba, kama wanaweza ''kufanya uhuni' wa namna hii, wanashindwaje chaguzi dhidi ya Wapinzani? Just imagine, waliofikiria kuchukua Fomu wamechinjiliwa mbali.
Wajumbe wa Mkutano mkuu ni kama kondoo, hawajui kwanini wapo Dodoma.
Kuna Wasomi, Maprofesa, Dr n.k. hakuna hata mmoja mwenye kuhoji, hii short cut imeandikwa wapi
Eti wanategemea busara za wazee, wakati inaonekana ilipangwa na Wazee wawe rubber stamp
Kama wanategemea busara, katiba ya CCM ina mapungufu! hakuna anayehoji.
Imesikitisha, Watu 1900 hakuna mwenye akili ya kuhoji halafu ndio walinzi wa rasilimali zetu.
Hivi hawa wanawezaje kuunda serikali itakayohoji 'tycoons'' wanaokuja kupora rasilimali zetu.
Kuna kitu kinaendelea kichini chini 'just a matter of time'
Je kuna haja ya kufabya uchaguzi?Kuna tatizo gani ilhali utamaduni wa CCM ni raisi kupata vipindi viwili?
Kwa katiba iliyopo uchaguzi mkuu ni ufujaji wa fedha tu. CCM ikishateuwa wanaemtaka awe raisi moja kwa moja huyo ndiye raisi wetu.Je kuna haja ya kufabya uchaguzi?
Kwa nini tusitambae na maamuzi ya mkutano maalumu kwa pande zote mbili bara na visiwani?
๐น๐น๐น Veggies hao mpk ss hawaamini kilichotokea..!!Nimecheka mno eti "Veggies"
Ni noma๐น๐น๐น Veggies hao mpk ss hawaamini kilichotokea..!!
Ni kale kakikundi kalikokuwa kameweka nia ya URais 2025 ! Ndio kamepigwa za Uso !๐น๐น๐น Veggies hao mpk ss hawaamini kilichotokea..!!
Kwakweli ! ๐ฏ ๐Kwa katiba iliyopo uchaguzi mkuu ni ufujaji wa fedha tu. CCM ikishateuwa wanaemtaka awe raisi moja kwa moja huyo ndiye raisi wetu.
Ni binadam tu au ubaguzi lakini alicho kifanya mwinyi znz ni kikubwa kuliko rais matajioOhooo Kumbe !
Watu wengine wanasema eti hakubaliki sana !