Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe
Hili mbona sisi tumelitambua kitambo toka siku alipoapishwa? CCM ilihitaji sana mtu kama huyo kuharakisha kusambaratika kwake kwani, bila mbeleko, asingejikuta hapo alipo.
Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Hilo mbona liko wazi? Huwezi ukapanda mchicha ukavuna nyanya, ukipanda mchicha unavuna mchicha.
Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini.
Kama katiba ya nchi wanayoapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea wana jeuri ya kuisigina sembuse katiba ya chama cha wala rushwa?
Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana.
Binafsi sikutazama jinsi eti wajumbe walivokusanywa, kupakiwa kwenye magari na kusafirishwa kama mifugo hadi Dodoma na kufungiwa zizini.
Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo,
Halafu hao hao wasema ndioooo na wakitoka hapo wanasifia demokrasia kwa kumthibitisha mtu anayejipendekeza mwenyewe na kujitangaza.
Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao.
CCM, CCM, CCM...kidumu chama cha mapinduzi! Sasa waulize wajumbe maana ya hilo jina Chama cha Mapinduzi. mbona utacheka!
Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.
Yale yale ya bungeni! Mtu kama vile kakurupuka usingizini na NDIOOOOOOOOO!
Hii ni disaster. Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa.
Kila nikiangalia picha za huko Dodoma, nabaki na cheka tu. Ukumbi mkubwa unaonekana hauna tofauti na zoo la wanyama...wana CCM.

Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Hiyo ndio CCM! Mtu anakurupuka kama aliyezinduka usingizini na kupaza sauti NDIOOOO bila hata kujua hiyo ndio inahusu nini.
 
Mimi huwa nastaabishwa na Viongozi wa CCM Zanzibar.Wakishavuka bahari na kutia mgumu Bara wanakuwa wakimya mno.Lakini wakiwa kule kwao watoa vitisho vya hatari
 
Hili mbona sisi tumelitambua kitambo toka siku alipoapishwa? CCM ilihitaji sana mtu kama huyo kuharakisha kusambaratika kwake kwani, bila mbeleko, asingejikuta hapo alipo.

Hilo mbona liko wazi? Huwezi ukapanda mchicha ukavuna nyanya, ukipanda mchicha unavuna mchicha.

Kama katiba ya nchi wanayoapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea wana jeuri ya kuisigina sembuse katiba ya chama cha wala rushwa?

Binafsi sikutazama jinsi eti wajumbe walivokusanywa, kupakiwa kwenye magari na kusafirishwa kama mifugo hadi Dodoma na kufungiwa zizini.

Halafu hao hao wasema ndioooo na wakitoka hapo wanasifia demokrasia kwa kumthibitisha mtu anayejipendekeza mwenyewe na kujitangaza.

CCM, CCM, CCM...kidumu chama cha mapinduzi! Sasa waulize wajumbe maana ya hilo jina Chama cha Mapinduzi. mbona utacheka!

Yale yale ya bungeni! Mtu kama vile kakurupuka usingizini na NDIOOOOOOOOO!

Kila nikiangalia picha za huko Dodoma, nabaki na cheka tu. Ukumbi mkubwa unaonekana hauna tofauti na zoo la wanyama...wana CCM.

Hiyo ndio CCM! Mtu anakurupuka kama aliyezinduka usingizini na kupaza sauti NDIOOOO bila hata kujua hiyo ndio inahusu nini.
Wajumbe wote wakifika mbele ya Mwenyekiti wanakuwa ni wadogo kama kidonge cha piriton !
Uoga unatawala !
Hii yote ni kwa sababu Mwenyekiti ndiye huyo huyo Mkuu wa Nchi na ni Commander in Chief of the Armed forces !
Hapo hakuna ujanja isipokuwa ukubali yaishe 😅😄👍 !
 
Hili linaeleza zaidi, kwamba, kama wanaweza ''kufanya uhuni' wa namna hii, wanashindwaje chaguzi dhidi ya Wapinzani? Just imagine, waliofikiria kuchukua Fomu wamechinjiliwa mbali.

Wajumbe wa Mkutano mkuu ni kama kondoo, hawajui kwanini wapo Dodoma.
Kuna Wasomi, Maprofesa, Dr n.k. hakuna hata mmoja mwenye kuhoji, hii short cut imeandikwa wapi

Eti wanategemea busara za wazee, wakati inaonekana ilipangwa na Wazee wawe rubber stamp

Kama wanategemea busara, katiba ya CCM ina mapungufu! hakuna anayehoji.

Imesikitisha, Watu 1900 hakuna mwenye akili ya kuhoji halafu ndio walinzi wa rasilimali zetu.
Hivi hawa wanawezaje kuunda serikali itakayohoji 'tycoons'' wanaokuja kupora rasilimali zetu.

Kuna kitu kinaendelea kichini chini 'just a matter of time'
Sio 'akili' ya kuhoji bali 'ujasiri' wa kuhoji.
 
Kuna tatizo gani ilhali utamaduni wa CCM ni raisi kupata vipindi viwili?
Je kuna haja ya kufabya uchaguzi?

Kwa nini tusitambae na maamuzi ya mkutano maalumu kwa pande zote mbili bara na visiwani?
 
Je kuna haja ya kufabya uchaguzi?

Kwa nini tusitambae na maamuzi ya mkutano maalumu kwa pande zote mbili bara na visiwani?
Kwa katiba iliyopo uchaguzi mkuu ni ufujaji wa fedha tu. CCM ikishateuwa wanaemtaka awe raisi moja kwa moja huyo ndiye raisi wetu.
 
Back
Top Bottom