Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
hivi hamkuelewa alivyokuwa anamtambulisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita na sio Rais wa sita kwenye awamu ya tano?
Mama anaupiga mwingi tulieni na chama chenu lakini nafsi za watanganyika hazitawaacha salama hasirani!
View: https://youtu.be/i_8IPQG_7nQ?si=77vjZVNDQqSSedhF