Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

We kinaniuma Nini, wenye chama Chao wameamua. Fanya Mambo yako achana na yasiyokuhusu.
 
Hata kama wangefata utaratibu huo unaoutaka bado angepita bila shida....kwani yule mtangulizi wake si kuna mtu alitaka kugombea dhidi yake ila hakufanikiwa hata kupata hiyo form....huo ni utamaduni wao aliyepo madarakani amalizie na muhula wa pili....kikubwa Hawa Chadema wapite salama kwny huo mchakato wao wa kupata Chairman mpya...walete mgombea wao...kazi ianze.....ila kwa mahesabu ya kawaida tu huu uchaguzi ushakwisha mapema sana
 
Baada ya Samia atayefuata nae atataka haya haya ya fomu moja ya urais.
 
Timbwili litakalofuata hakika CHADEMA naiona ikizaliwa upya na kukua ghafla.Pointi za kuwazodolea CCM wamezitengeneza wenyewe kwani majeruhi wa mchezo wa leo ni wengi ndani ya chama chenyewe.Upande wa CHADEMA suala ni 'purification' tu inayohitajika.Kumbukeni Chama Cha Mapinduzi wao ni kupindua taratibu zilizopo ilimradi watwae mamlaka
 
Unaongea haya ukiwa kama nani kwenye chama?

Maana maamuzi ya chama yamefanyika kwenye mkutano halali na azimio lilikua halali
 
Kuna watu wameachwa njiani hapo.

Wale jamaa walijiita boys four mens wameachwa kwenye mataa 🤣 😂, hiyo ndiyo CCM bana, na hapo ndiyo imetoka hivyo No Surrender.

Tena kwa kuzuga mzee Mwinyi hawakutaka kuonyesha 'imeenda' waliona ngoja wajifungie kidogo ndani, ndipo baadaye wakaja na msimamo KAKUBARI 🤣!.

NB. Tofauti ya SSH na JPM si kubwa kwenye mambo haya na safari ndiyo imeanza!.
 
Naelewa wengine wakipewa asali, nusu mkate viti kadhaa, viti kama 30 vya ubunge, vyeo kadhaa watalamba asali na kuwa wapiga debe.

Unafikiri ni kwanini hii strategy haitapokelewa vizuri?

Strategy gani inaweza kuwa mbadala mzuri zaidi, maridhiano?

Strategies zisikae mbali sana na historia nq utamatuni wetu.

CCM wanatekeleza hili kwa vitendo
 
SSH anatumia gusa achia twende kwao

JPM alikua anatumia butua uwaokoe wenzako
 
Watanzania wanaweza kufanya mapinduZi? Labda mercenary!
 
Adui mkubwa wa nchi hii ni ccm.
 
Ngoja upande wa pili lisu ashinde tunarudisha nchi Kwa watanganyika asilia
 
This was an outside job na dola zote za kule zilippromoka

You can’t compare na tanzania ambapo mabeberu are benefiting from
The current status

Arab spring was also an outside job

Understand the context
 
Rubbish!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…