Nimeipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda
We kinaniuma Nini, wenye chama Chao wameamua. Fanya Mambo yako achana na yasiyokuhusu.Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.
Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.
Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.
Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.
Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.
Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.
Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Subirini uchaguzi wenu J4.Heri ya CHADEMA kuliko hawa CCM
Hata kama wangefata utaratibu huo unaoutaka bado angepita bila shida....kwani yule mtangulizi wake si kuna mtu alitaka kugombea dhidi yake ila hakufanikiwa hata kupata hiyo form....huo ni utamaduni wao aliyepo madarakani amalizie na muhula wa pili....kikubwa Hawa Chadema wapite salama kwny huo mchakato wao wa kupata Chairman mpya...walete mgombea wao...kazi ianze.....ila kwa mahesabu ya kawaida tu huu uchaguzi ushakwisha mapema sanaLeo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.
Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.
Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.
Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.
Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.
Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.
Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Baada ya Samia atayefuata nae atataka haya haya ya fomu moja ya urais.Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.

Inasikitisha, CCM yangu ya sasa inatuweka uchi kwenye democracyWatageukana kitu ambacho ni kuzuri sana kuna ule utabiri yaweza timia
Unaongea haya ukiwa kama nani kwenye chama?Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.
Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.
Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.
Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.
Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.
Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.
Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Hamia chademaInasikitisha, CCM yangu ya sasa inatuweka uchi kwenye democracy
Kwanini lakini?!!
Naelewa wengine wakipewa asali, nusu mkate viti kadhaa, viti kama 30 vya ubunge, vyeo kadhaa watalamba asali na kuwa wapiga debe.
Unafikiri ni kwanini hii strategy haitapokelewa vizuri?
Strategy gani inaweza kuwa mbadala mzuri zaidi, maridhiano?
SSH anatumia gusa achia twende kwaoKuna watu wameachwa njiani hapo.
Wale jamaa walijiita boys four mens wameachwa kwenye mataa 🤣 😂, hiyo ndiyo CCM bana, na hapo ndiyo imetoka hivyo No Surrender.
Tena kwa kuzuga mzee Mwinyi hawakutaka kuonyesha 'imeenda' waliona ngoja wajifungie kidogo ndani, ndipo baadaye wakaja na msimamo KAKUBARI 🤣!.
NB. Tofauti ya SSH na JPM si kubwa kwenye mambo haya na safari ndiyo imeanza!.
TOKA MAKTABA DAWATI LA HISTORIA :
ANGUKO LA CHAMA DOLA KULE NCHINI ROMANIA, BAADA YA HOTUBA IILIYOSHANGILIWA NA WENGI
View: https://m.youtube.com/watch?v=TcRWiz1PhKU
Nicolae Ceaușescu (matamshi ya Kiromania: [nikoˈla.e t͡ʃe̯a.uˈʃesku]; 26 Januari 1918 -- 25 Desemba 1989) alikuwa mwanasiasa wa Kikomunisti wa nchini Romania.
Alikuwa Kiongozi mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha Romania kuanzia 1965 hadi 1989, na kwa hivyo alikuwa kiongozi wa pili na wa mwisho wa Kikomunisti nchini humo.
Pia alikuwa mkuu wa nchi kutoka 1967 hadi 1989. Utawala wake uliwekwa alama katika muongo wa kwanza na sera ya wazi kuelekea Ulaya Magharibi na Marekani, ambayo ilikengeuka kutoka kwa mataifa mengine ya Warsaw Pact wakati wa Vita Baridi.
Aliendelea na mtindo ulioanzishwa kwanza na mtangulizi wake, mwendazake Gheorghe Gheorghiu-Dej, ambaye kwa busara alishawishi Muungano wa Sovieti kuondoa wanajeshi wake kutoka Rumania mwaka wa 1958. , serikali kali zaidi ya Stalinist katika kambi ya Soviet.
Ilikuwa pia awamu ya muendelezo wa kuitupilia mbali Sera ya utu na kuingiza sera ya mkono wa chuma wenye damu iliyoenea kila mahali, uzalendo uchwara na kuzorota kwa uhusiano wake na wadau wa maendeleo wa kimataifa na madola ya Magharibi na Umoja wa Kisovieti.
ENGLISH:
Nicolae Ceaușescu (Romanian pronunciation: [nikoˈla.e t͡ʃe̯a.uˈʃesku]; 26 January 1918 -- 25 December 1989) was a Romanian Communist politician.
He was Secretary General of the Romanian Communist Party from 1965 to 1989, and as such was the country's second and last Communist leader. He was also the country's head of state from 1967 to 1989.
His rule was marked in the first decade by an open policy towards Western Europe and the United States, which deviated from that of the other Warsaw Pact states during the Cold War.
He continued a trend first established by his predecessor, Gheorghe Gheorghiu-Dej, who had tactfully coaxed the Soviet Union into withdrawing its troops from Romania in 1958.
Ceaușescu's second decade was characterized by an increasingly brutal and repressive regime—by some accounts, the most rigidly Stalinist regime in the Soviet bloc.
It was also marked by an ubiquitous personality cult, nationalism and a deterioration in foreign relations with the Western powers as well as the Soviet Union.
Ceaușescu's government was overthrown in the December 1989 revolution, and he and his wife were executed following a televised and hastily organised two-hour court session.
Adui mkubwa wa nchi hii ni ccm.Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.
Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.
Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.
Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.
Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.
Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.
Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Ngoja upande wa pili lisu ashinde tunarudisha nchi Kwa watanganyika asiliaLeo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.

Rubbish!!!Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.