ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Je alisema huyo KE atahudumu kwa vipindi viwili ??!Kwamba aliyeingia 2005 atatimiza 10 , ndipo aje ambaye ataishia njiani, then aje KE, na atafuata mpinzani , maana upepo utakuwa mkali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je alisema huyo KE atahudumu kwa vipindi viwili ??!Kwamba aliyeingia 2005 atatimiza 10 , ndipo aje ambaye ataishia njiani, then aje KE, na atafuata mpinzani , maana upepo utakuwa mkali
Hata Mimi niligundua hilo, nadhani amekuwa surprised au ni janja janja yake asieleweke yupo upande gani !Naona hata mzee wa Msoga katika maelexo yake66 alikuwa na kigugumizi lakini akajishtukia na kuona kama maelezo yake hayamsaidii Mama!
Huku akielemewa na kelele za chawa wa Mama akaamua kuunga mkono maamuzi.
🤓🤓🤓
Nimecheka mno eti "Veggies"Veggies wamepigwa na bumbu wazi 😹
CCM hii hakuna wakuweza kuleta mgogoro ndugu, ni kama wamemezeshwa dawa fulani - Yaani ni kama libwata kwenye mapenzi au msukule - hawahoji, hawalalamiki, hawaulizi chochote..Kwa kweli kile kilichofanyika mchana huu ni maajabu.Hata Nyerere pamoja na kuwa na Mamlaka makubwa mno hakudiriki kuburuza wajumbe kiasi hicho.
Jambo hilo litaleta mgogolo ndani ya chama.
Hem nisaidie: Ni Samia Alli Hassan Mwinyi, au ni Hussein Suluhu Hassan?Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi
Saa ya ukombozi ni sasaNdiyo hapo ujue wanaume wenzetu Watanganyika walioko.huko CCM ni mazombie kabisa wanaburunzwa na mwanamama kutoka nchi jirani ya Zanzibar. Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika
CCM ni mali ya Mwenyekiti huwezi kumfanya kitu chochote Mwenyekiti wa CCM kama ilivyo kwa upande wa Rais wa nchi hata akifanya nini yupo juu ya sheriaCcm ni chama , na tasisi ya umma, sio cha mwenyekiti kwa kilichofanyika kamati za kinidham zinatakiwa kukaa na kutoa adhabu ikiwa ni pamoja kuwavua nyadhifa na uanachama wote walioshiriki,
Vegetarians ???! 🤣😅Nimecheka mno eti "Veggies"
Iko vile bandugu na itabaki kuwa vile mpaka itakapokuwa vinginevyo !!CCM ni mali ya Mwenyekiti huwezi kumfanya kitu chochote Mwenyekiti wa CCM kama ilivyo kwa upande wa Rais wa nchi hata akifanya nini yupo juu ya sheria
CCM ni matapeli tupuIko vile bandugu na itabaki kuwa vile mpaka itakapokuwa vinginevyo !!
Hata Mzee wa karibu na Kibaigwa aliyepotea kwenye anga za siasa anajua hivyo ! Mwenyekiti sio mchezo !
😳!
Mbona wameshafanya chaguzi ndogo ndogo? KensKuhalalisha maneno yako, nao tuwaangalie kwenye uchaguzi wa viongozi wao siku ya kesho.
Uhalali ama uharamu wao tungojee kesho.Mbona wameshafanya chaguzi ndogo ndogo? Kens
Mboga Mboga aka kijaniVegetarians ???! 🤣😅
Mboga Mboga aka kijaniVegetarians ???! 🤣😅
Iko vile bandugu na itabaki kuwa vile mpaka itakapokuwa vinginevyo !!
Hata Mzee wa karibu na Kibaigwa aliyepotea kwenye anga za siasa anajua hivyo ! Mwenyekiti sio mchezo !
😳!
Kumbe siku hizi CCM hamna suala la kuchukua fomu na kupigiwa kura...ni mwendo wa kusonta tu kidole kisha mtu anapata kura zote za ndio...what a step!, poor Tanzania.Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.
Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.
Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.
Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.
Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.
Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.
Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
CCM imefanya jambo jema kabisa, mivutano imekwisha sasa, pia hili litaokoa fedha za chama maana kutakuwa hakuna haja ya kuitisha vikao vingine ambavyo huwa na gharama kubwa kweli it's a cost cut mission thank you mama Samia umawawezaMissile of the Nation hoja yako sidhani kama wengi wali iangalia kwa uzito wake. Ni kweli kuna tatizo
1. Mkutano mkuu ulikuwa na agenda ya kuteua Makamu wa Rais Bara.
2. Kulikuwa na hoja ya kuchapisha Fomu 1 ya Urais unaombwa na kuteuliwa na ndivyo ilivyokuwa kawaida
3. Hoja imeletwa kwa kushtukiza katika Mkutano mkuu. Kwa kawaida hoja huanzia vikao vya Kamati kuu, Halmashauri kuu na kuidhinishwa na Mkutano mkuu.
M/kiti Samia anatoa maagizo sekretariati iandae azimio baada ya hoja ya Mkutano mkuu! hapa ni kinyume na taratibu kwasababu Mkutano mkuu huwa ni kauli ya mwisho.
4. Mkutano mkuu umenyima Wanachama walionuia haki yao ya kugombea nafasi ya Urais
5. Consulatation imefanyika ndani ya kikao, kwa maana Kamati kuu na H/Kuu hawana taarifa
Kuna fukuto na tatizo kubwa sana, hii short cut inaashiria walichokifanya ni kukwepa tatizo
Nadhani wanataka kukwepa yale ya Lowassa! wakijua wakati huu kuna udhaifu mkubwa sana.
Pascal Mayalla tusaidie kwasababu wewe ni mwandishi, mwanasheria , mwana CCM na ''Privy''
Mag3 JokaKuu
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima dataLeo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.