Samia akishinda Urais mwaka huu, Polepole, Gwajima na Mpina wataishije maisha yao hapa Tanzania?

gefa

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
449
Reaction score
666
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni

Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia

Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm?

Najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.

Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.

Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa
 
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Let's wait & see
 
Mpaka sasa serikali ya Dkt Samia inawatafuta kuwaua kama alivyouawa Mdudena Mzee Kibao. Yaani hao uliowataja ni marehemu watarajiwa wenye kipindi kinachojulikana. Unajua kipindi kile tulisema jamani Dkt Magufuli hauia na hajaagiza watu wafe mlitubishia lakini ona sasa keo Dkt Magufuli hayupo na tena kifo kama cha Mzee Kibao yaani mchana kweupe, hicho kikundi ndicho kilua na kuweka watu kwenye viroba na kuanzisha mada ya kusema serikali ya Dkt Magufuli ndiyo inaua. Kibaya watanzania wengi waliamini wakaanza kumlaani Dkt Magufuli wasijue wabaya wake aliandaa ili wakimuua Dkt Magufuli iwe rahisi kusema muuaji kauawa
 
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Wewe wasiwasi wako nini?
Mungu ataamulia ugomvi wao.
 
Wewe utakuwa mjinga. Hangaika na maisha Yako na nchi Yako. Achana na kufikiri maisha ya mpina, pole pole
 
Kwani unategemea kushindwa uchaguzi Mkuu mbona umeuliza maswali ya kipima joto itv..
Wahuni wamejipanga sheh! Lolote linaweza kutokea, maana tusio na sauti kubwa ndio tunatamani mambo yawe tofauti ila wazito wamejikunyata mikia kama mbwa kwa chatu! Wengine wameamua kuisaliti Tanzania ya wote kwa vipande vya fedha(asali)! Wapinzani wamenunulika,wana ccm wamenunulika pia! Kuna vita kubwa sana kati ya mafisadi na wazalendo!
 
Wewe utakuwa mjinga. Hangaika na maisha Yako na nchi Yako. Achana na kufikiri maisha ya mpina, pole pole
Sawa nakubaliana na wewe mimi ni mjinga! Lakini najaribu kuvaa viatu vyao hao watu ili kuruhusu akili yangu ielewe uthubutu walio uonyesha, mimi sio wale mabinafsi wanaojiona wanaakili kuliko wengine ili kujinufaisha maslahi ya taifa wao na familia zao, wakati hua tunasema watanzania wote ni ndugu! Kwanini usiwaze wengine wanachokipitia kama ni ndugu zako? Kataa ubinafsi sote tutapita Tanzania itabaki, tuilinde Tanzania kwa vizazi vya baadae!
 
Write your reply...badala ya kuwaza familia yako itaishi namna gani unawafikili wenye mabilioni kwenye ac zao za bank
Mabilioni hayamzuii Samia kuwatendea vibaya! Ndio sababu mpaka sasa wamejificha hawajulikani wanaishi wapi! Kuhusu familia yangu,hilo nalo hata wewe halikuhusu! Mimi naamini watanzania wote ni ndugu hivyo kama ndugu yao kina POLEPOLE na Gwajima nawaza mustakabali wa maisha yao kwenye makucha ya kiongozi ambae hajali utu itakuwaje!
 
Zingatia Familia yako itaishije bwashee huko duniani kila nchi inaandaa nyambizi za Nyuklia 🐼
Kwaio tuache kuwaza Tanzania bora kwasababu ni mwisho wa dunia au vipi? Familia yangu naizingatia kwa kuipambania Tanzania yenye usawa maana bila Tanzania ilio kutoa fursa sawa hao watoto nikiwalisha ugali na kuwasomesha itawafaa nini ikiwa nchi yenye rasilimali tele inachezewa na kuliwa na wachache kwa kushirikiana na wageni kiholela! Mfano jana nilikua namsikiliza Jafo pale Utv kashindwa kusema wazi serikali inamiliki % kwenye mradi wa soko la kimataifa la ubungo, nilichoelewa ni kuwa ule ni mradi wa wachina na kina mchengerwa! Na kwasababu watanzania wengi mnadhani maisha ni ugali tu hamjishughulishi kuhoji mambo kama haya.
 
Soko lile la wachina ila eneo ni la TAMISEMI kupitia Manispaa zote za DSM
 
Kwaio serikali inamiliki eneo tuu? Au makubaliano yakoje? Lile eneo ni la watanzania tunatakiwa tujue tunafaidika nalo vp kama wamiliki au wapingishaji!
 
Eneo la Wachina ni pale Urafiki kiwandani na maghorofani labda Wamebadilishana kimkataba
 
Back
Top Bottom