Samia akishinda Urais mwaka huu, Polepole, Gwajima na Mpina wataishije maisha yao hapa Tanzania?

Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Hao ni mashushushu tu wametumwa kwa kazi maalum ikiisha wanarudi chamani na kupewa pongezi za vitengo nyeti
 
Kesho Mungu ndio anaijua.....nani alijua leo Lissu atakua hai na mwenye afya njema huku Magufuli akiwa kaburini? Kesho yao Mungu anaijua na huenda ikawa bora sana kuliko unavyofikiria.
We nae ubakiege kwenye mada zako za kuliwa mbunye.

Mambo ya siasa yaache huelewi kitu.

Cc: Lucas Mwashambwa
 
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Mimi nimefikiria kinyume na wewe, nimefikiria Samia akishinda urais ataongozaje nchi ikiwa urais wake umeanza kwa wingu la kukosa uhalali hivi?
 
Kwani sasa hivi wanaishije?
 
Mimi nimefikiria kinyume na wewe, nimefikiria Samia akishinda urais ataongozaje nchi ikiwa urais wake umeanza kwa wingu la kukosa uhalali hivi?
Ataongoza bora liende kwani yeye binafsi atapata hasara gani?
 
Ukila nyama ya binadamu huwezi kuacha, Maisha ya Samia ni mafupi, as long as tumeshafahamu Makamu anaweza kuwa Rais kwa njia rahisi hivyo basi, usijali watakavoishi... Soon watanzania watafanya Sherehe
Hizi Ramli bado zipo??? Tulijua July Ni sikukuuu kuu Tanzania Ila tupo August now
 
Wewe unadhani wakina Kibajaji wanampenda Samia, mipango ipo tayari kinachosubiriwa ni operational opportunity.

Nikuulize swali, ni lini mara ya mwisho Samia amesafiri kwenda Ulaya?
 
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni

Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia

Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm?

Najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.

Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.

Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa
Nani kakwambia kuna uchaguzi mwaka huu ndugu?
 
Back
Top Bottom