Samia akishinda Urais mwaka huu, Polepole, Gwajima na Mpina wataishije maisha yao hapa Tanzania?

pole sana kwa kupambania maisha yako, kuwaza yanayoweza kuwapata hao unaosema wana mabilioni ni uamuzi wa kuruhusu mawazo yako yatafsiri kwa upana mambo yanayoendelea hapa Tanzania! Kama una limit fikra zako kuwaza kutafuta hela ya kula tuu pia ni sahihi!
Kila mtu kavurugwa babu
 
Hata enzi za Nyerere, akina Kambona walikimbilia nje ya inchi na wengine waliwekwa kizuizini. Wengi wao wanajua wazi nini kitafuata, maana wengine walikuwa viongozi waandamizi, hivyo ni wazi wataishi kwa wasiwasi mkubwa!
 
Badala ya kutoa room ya HOJA zao hapa ili tuendelee kuzijadili, na ni kwa namna gani CCM inazichukulia wewe unakuja na namna ya wao kuishi baada ya uchaguzi ambao kinhalisia hautakuwepi. Sasa kipi ni cha muhimu kwa Taifa ? Kwa hiyo unawatisha wajisalimìshe kwa CCM isiyofuata Katiba, taratibu na falsafa yake?
 
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Wataishije kivip? Mbona bado ni rais na wanaishi,wataishi hiv hiv
 
Badala ya kutoa room ya HOJA zao hapa ili tuendelee kuzijadili, na ni kwa namna gani CCM inazichukulia wewe unakuja na namna ya wao kuishi baada ya uchaguzi ambao kinhalisia hautakuwepi. Sasa kipi ni cha muhimu kwa Taifa ? Kwa hiyo unawatisha wajisalimìshe kwa CCM isiyofuata Katiba, taratibu na falsafa yake?
Mimi nimeleta mawazo yangu hapa, sijakuzuia wewe pia kuleta hizo unazoziita hoja za muhimu kwa taifa! Mnakuwaga na shida gani kushindwa kujadili mada husika mnaanzisha hoja zingine ili muonekane mna hoja za maana kuliko wengine! Mawazo ya watu hayafanini Jomba!
 
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
WW NI MUNGU UNAYEWEZA KUTABIRI HII MTU YENU ITAKUWEPO HT DK 30 MBELE?
 
Ninachojua sa100 hana muda mrefu wa kuendelea kuwepo hapa duniani very soon parapanda italia kwa hiyo hawa wanasisiem uliowataja na wengine na hata wasio sesiem wasiwe na wasiwasi
 
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Hilo swali halipo na halistahili kuwepo kwa kuwa HAWEZI KUWEPO SI TU 2025 - 2030 BALI HATA 2025 OKTOBA HAFIKI....!!!

Kama hujui au huamini omba neema ya Mungu ufike wakati wewe ukiwa hai, uone yote haya kwa macho yako..!!
 
Watakuwa huru zaidi.
Hawataweza kuendelea kuwatetea wananchi waliokubali mfumo huo wa maisha.

Na CCM watatumia kupita kwao kama proof of fact kwamba hao jamaa walikua wrong na wapotoshaji na Kwamba watanzania waliliona hilo.

Kiufupi watakuwa huru tu ila wataachana kabisa na politics.

Nafikiri tu (Intelligent Guess).
Haya maswali ya what if? Hayahitaji kutumia nguvu kuyajadili.
 
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Kama wanayoyafanya wana dhamira safi mioyoni mwao siyo kwamba kuna hila ndani yao.Wataishi hata awepo samia au aingie Lisu au Mzee Rungwe
 
Mi nnachojua na ambacho nina uhakika nacho sa100 akiendelea kuwa rais nchi yetu itazidi kuwa ya hovyo zaidi...mambo ya ujinga ujinga & uhuni yatatamalaki balaa!.
Tunarudi kuleee enzi za kauli "unanijua mie ni nani"
Dah sijui tumpate wapi Traore wetu aje kutuokoa na hili genge?!
Ni majanga!!.
 
Hilo swali halipo na halistahili kuwepo kwa kuwa HAWEZI KUWEPO SI TU 2025 - 2030 BALI HATA 2025 OKTOBA HAFIKI....!!!

Kama hujui au huamini omba neema ya Mungu ufike wakati wewe ukiwa hai, uone yote haya kwa macho yako..!!
Nazingatia!
 
Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Why uwaze watu watatu while there are 70m people on need ?
 
Back
Top Bottom