Let's wait & seeHabari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Kwa akili yako hii ndio maana umeishia kuwa chawa hueleweki ni kiongozi au mtumbuizaji.Zingatia Familia yako itaishije bwashee huko duniani kila nchi inaandaa nyambizi za Nyuklia 🐼
Wewe wasiwasi wako nini?Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Wewe utakuwa mjinga. Hangaika na maisha Yako na nchi Yako. Achana na kufikiri maisha ya mpina, pole poleHabari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni!
Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia!
Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm! Maana mpaka sasa sote tunajua Samia ukipishana nae kidogo yanakukuta mazito! Wapinzani wamesulubiwa na wanaendelea kusulubiwa, alimpa kesi ugaidi mbowe kabla ya kumtoa na kumlambisha asali,
Sasa hivi kamtupa Mwenyekiti wa chadema ndugu Lissu mahabusu kwa kesi nzito ya uhaini, vijana kama kina soka, mdude, na wengine wengi hawajulikani walipo! Na mengine mengi ya utekaji na uuaji wa wanaokosoa utawala wake!
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Ila nawapongeza sana wote wanaosimama kwa ujasiri kumkosoa ama kusema mambo mabaya yanayofanywa na uongozi wa samia.
Nitoe wito kwa watanzania tusimame na hawa wenye ujasiri wa kusema juu ya mabovu ya Samia, maana kuna watu na viongozi wakuu wa sasa ama zamani wanaogopa kukemea uovu sababu wanahofia maisha yao kuharibiwa na Samia!
NB:kama uko upande wa samia usikomenti chochote maana sina mood ya kuhangaisha mwili na akili kujibizana na watetezi wa Samia.
Wahuni wamejipanga sheh! Lolote linaweza kutokea, maana tusio na sauti kubwa ndio tunatamani mambo yawe tofauti ila wazito wamejikunyata mikia kama mbwa kwa chatu! Wengine wameamua kuisaliti Tanzania ya wote kwa vipande vya fedha(asali)! Wapinzani wamenunulika,wana ccm wamenunulika pia! Kuna vita kubwa sana kati ya mafisadi na wazalendo!Kwani unategemea kushindwa uchaguzi Mkuu mbona umeuliza maswali ya kipima joto itv..
Sawa nakubaliana na wewe mimi ni mjinga! Lakini najaribu kuvaa viatu vyao hao watu ili kuruhusu akili yangu ielewe uthubutu walio uonyesha, mimi sio wale mabinafsi wanaojiona wanaakili kuliko wengine ili kujinufaisha maslahi ya taifa wao na familia zao, wakati hua tunasema watanzania wote ni ndugu! Kwanini usiwaze wengine wanachokipitia kama ni ndugu zako? Kataa ubinafsi sote tutapita Tanzania itabaki, tuilinde Tanzania kwa vizazi vya baadae!Wewe utakuwa mjinga. Hangaika na maisha Yako na nchi Yako. Achana na kufikiri maisha ya mpina, pole pole
Mabilioni hayamzuii Samia kuwatendea vibaya! Ndio sababu mpaka sasa wamejificha hawajulikani wanaishi wapi! Kuhusu familia yangu,hilo nalo hata wewe halikuhusu! Mimi naamini watanzania wote ni ndugu hivyo kama ndugu yao kina POLEPOLE na Gwajima nawaza mustakabali wa maisha yao kwenye makucha ya kiongozi ambae hajali utu itakuwaje!Write your reply...badala ya kuwaza familia yako itaishi namna gani unawafikili wenye mabilioni kwenye ac zao za bank
Kwaio tuache kuwaza Tanzania bora kwasababu ni mwisho wa dunia au vipi? Familia yangu naizingatia kwa kuipambania Tanzania yenye usawa maana bila Tanzania ilio kutoa fursa sawa hao watoto nikiwalisha ugali na kuwasomesha itawafaa nini ikiwa nchi yenye rasilimali tele inachezewa na kuliwa na wachache kwa kushirikiana na wageni kiholela! Mfano jana nilikua namsikiliza Jafo pale Utv kashindwa kusema wazi serikali inamiliki % kwenye mradi wa soko la kimataifa la ubungo, nilichoelewa ni kuwa ule ni mradi wa wachina na kina mchengerwa! Na kwasababu watanzania wengi mnadhani maisha ni ugali tu hamjishughulishi kuhoji mambo kama haya.Zingatia Familia yako itaishije bwashee huko duniani kila nchi inaandaa nyambizi za Nyuklia 🐼
Soko lile la wachina ila eneo ni la TAMISEMI kupitia Manispaa zote za DSMKwaio tuache kuwaza Tanzania bora kwasababu ni mwisho wa dunia au vipi? Familia yangu naizingatia kwa kuipambania Tanzania yenye usawa maana bila Tanzania ilio kutoa fursa sawa hao watoto nikiwalisha ugali na kuwasomesha itawafaa nini ikiwa nchi yenye rasilimali tele inachezewa na kuliwa na wachache kwa kushirikiana na wageni kiholela! Mfano jana nilikua namsikiliza Jafo pale Utv kashindwa kusema wazi serikali inamiliki % kwenye mradi wa soko la kimataifa la ubungo, nilichoelewa ni kuwa ule ni mradi wa wachina na kina mchengerwa! Na kwasababu watanzania wengi mnadhani maisha ni ugali tu hamjishughulishi kuhoji mambo kama haya.
Kwaio serikali inamiliki eneo tuu? Au makubaliano yakoje? Lile eneo ni la watanzania tunatakiwa tujue tunafaidika nalo vp kama wamiliki au wapingishaji!Soko lile la wachina ila eneo ni la TAMISEMI kupitia Manispaa zote za DSM
Eneo la Wachina ni pale Urafiki kiwandani na maghorofani labda Wamebadilishana kimkatabaKwaio serikali inamiliki eneo tuu? Au makubaliano yakoje? Lile eneo ni la watanzania tunatakiwa tujue tunafaidika nalo vp kama wamiliki au wapingishaji!