Samia akishinda Urais mwaka huu, Polepole, Gwajima na Mpina wataishije maisha yao hapa Tanzania?

Ukila nyama ya binadamu huwezi kuacha, Maisha ya Samia ni mafupi, as long as tumeshafahamu Makamu anaweza kuwa Rais kwa njia rahisi hivyo basi, usijali watakavoishi... Soon watanzania watafanya Sherehe
 
Eneo la Wachina ni pale Urafiki kiwandani na maghorofani labda Wamebadilishana kimkataba
Unajibu vitu usivyovijua. *labda *
Serikali haitoi taarifa kwa uwazi kwasababu wanazozijua wao, ila ukweli anaujua mchengerwa!
 
Samia atashinda na hao uliowataja watakuwepo tu,kwani samia sio kiongozinwa kwanza kupingwa na hao uliowataja sio mara ya kwanza kupinga viongozi
 
Ukila nyama ya binadamu huwezi kuacha, Maisha ya Samia ni mafupi, as long as tumeshafahamu Makamu anaweza kuwa Rais kwa njia rahisi hivyo basi, usijali watakavoishi... Soon watanzania watafanya Sherehe
Na hiki kipengere inabidi kibadilishwe haraka sana la sivyo Marais wengi watafia madarakani!
 
Unajibu vitu usivyovijua. *labda *
Serikali haitoi taarifa kwa uwazi kwasababu wanazozijua wao, ila ukweli anaujua mchengerwa!
Mikataba ya Serikali ni Siri ndio sababu nasema Labda 🐼
 
Hao itabidi wahame nchi vinginevyo watatekwa na kuuliwa kisha kutupwa mto Rufiji, Samia Suluhu ni mwanamke katili na mwenye roho ya kishetani kabisa.
 
Ukiamua kuwa jasiri wa kusema juu ya mabovu ya kiongozi basi huna haja ya kuogopa chochote labda ujasiri wako uwe wa kimaslahi binafsi au chuki kwani lisu alikuwa mkosoaji mkubwa wa jiwe na alisimamia alichokiamini hata alipo umizwa alipopata nafuu aliendelea kusema maovu ya jiwe na wala hakuufyata
 
Samia atashinda na hao uliowataja watakuwepo tu,kwani samia sio kiongozinwa kwanza kupingwa na hao uliowataja sio mara ya kwanza kupinga viongozi
Samia kushinda ni moja ila swali langu je Gwajima ataendelea na makanisa yake? Vipi kuhusu POLEPOLE ataachwa tu atembee barabarani hata baada ya kusema wazi kuwa Samia hafai kugombea urais 2025? Miaka 5 ni mingi kama ulimpinga mtu anaekua rais madarakani! Yule dogo wa mbeya alichoma picha tu kapotea unadhani mtu kama POLEPOLE anaesema wazi samia alikwapua trilioni 4 kwenye hela za bajeti ya 2021 atakua salama?
 
Kweli kabisa itabidi waendelee kukosoa, hata kama watauliwa!
 
Mpk sasa sijala nakimbizana na hrkt mix usingizi afu nikawaze wenye mabilion huko bank....

Upuuzi mtupu
 
Mikataba ya Serikali ni Siri ndio sababu nasema Labda 🐼
Siri? Kwani hio mikataba si inasainiwa na viongozi kwa niaba yetu? Nashindwa kukuelewa unajifanya hujui au ni kweli hujui wajibu wa serikali kwa wananchi,na haki ya wananchi kujua namna rasilimali za nchi yao zinavotumika!
 
Mpk sasa sijala nakimbizana na hrkt mix usingizi afu nikawaze wenye mabilion huko bank....

Upuuzi mtupu
pole sana kwa kupambania maisha yako, kuwaza yanayoweza kuwapata hao unaosema wana mabilioni ni uamuzi wa kuruhusu mawazo yako yatafsiri kwa upana mambo yanayoendelea hapa Tanzania! Kama una limit fikra zako kuwaza kutafuta hela ya kula tuu pia ni sahihi!
 
Siri? Kwani hio mikataba si inasainiwa na viongozi kwa niaba yetu? Nashindwa kukuelewa unajifanya hujui au ni kweli hujui wajibu wa serikali kwa wananchi,na haki ya wananchi kujua namna rasilimali za nchi yao zinavotumika!
Haya
 
Muhimu afahamu tu na yeye siku yake inakuja. Kwa sababu kila ubaya unaowafanyia wengine, hulipwa kwa kiwango kile kile.
 
Ndio wote wataendelea na mambo yao bila shida
 
Kushinda uchaguzi upi?
Sijasema kushinda uchaguzi, nimesema iwapo atafanikiwa kuwa madarakani 2025- 2030! Hijalishi kwa uchaguzi au kwa namna ingine yoyote!
 
Sasa najiuliza kina POLEPOLE na Gwajima wataishi vipi ikiwa huyu mama ataendelea kuwa madarakani, sipati picha.
Itakuwa kama ilivyokuwa kwa Lissu na Lemma na wengine. Walikuwa ughaibuni mpaka mwendazake na Polepole walipotoka serikalini, ndio utawala mpya ukawarudisha.

Kwa hiyo hao wapo na wataendelea kukaa ughaibuni mpaka 2031 ndio watakanyaga Tanzania.
 
Nafikiri burundi itakuwa inawahusu.
 
CCM ni Chama cha Matapeli hao wote watapewa ulaji na kupewa sifa lukuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…