Samia akishinda Urais mwaka huu, Polepole, Gwajima na Mpina wataishije maisha yao hapa Tanzania?

Hao wote uliowataja walikuwepo wakati Magufuli anatesa wakosoaji wake, na wote walikaa kimya wakiona ile ni sawa. Acha waone wengine walikutana na madhila gani.
 
Hao wote uliowataja walikuwepo wakati Magufuli anatesa wakosoaji wake, na wote walikaa kimya wakiona ile ni sawa. Acha waone wengine walikutana na madhila gani.
Mimi sijakwama katika yaliyopita, nipo na issue zinazoendelea sasa! Hijalishi yaliyopita yalikuaje tupo hapa sasaivi na samia wala sio magufuli wala kikwete wala mwinyi au mkapa!
 
Mimi sijakwama katika yaliyopita, nipo na issue zinazoendelea sasa! Hijalishi yaliyopita yalikuaje tupo hapa sasaivi na samia wala sio magufuli wala kikwete wala mwinyi au mkapa!
Historia ni hakimu mzuri. Kama wao waliona ni sahihi wengine kuumizwa, ww unalia nini wao kuumizwa sasa?
 
Historia ni hakimu mzuri. Kama wao waliona ni sahihi wengine kuumizwa, ww unalia nini wao kuumizwa sasa?
Haya we baki kwenye historia basi! Utatukuta mbele sisi tunazungumzia yaliyopo na yajayo! Historia inahukumu lakini haibadili chochote kinachoendelea!
 
Hilo swali liwahusu WaTanganyika wote!
 
Unaamini kuwa Kuna uchaguzi October??? unaamini uchaguzi ukiwepo atafuulu miaka mpaka 2030???🤔🤔🤔 Kabla hajaamua kwa hiari kukaa pembeni???
 


Maisha ya binadamu yako mikononi mwa Mwenyezi Mungu. Hakuna anayejihakikishia 100% yeye ndio atatoboa. It is what it is...

Kikubwa sana ni kufanya kazi kwa haki, nidhamu na uwajibikaji. Hili Taifa sio mali binafsi ya mtu. Tumeshajifunza hilo na haina maana limebadilika
 
🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri vile
 
Wataishi kama watoto wakosefu waliomkosea mama yao.
 
Sasa kama sio serikali kwanini hawachukui hatua ya kufanya uchunguzi na kubaini hao wauwaji? Tuseme serikali na inteligensia yake wameshindwa kiasi hiki na kushindwa kupata hao wanaoua?
 
Haya we baki kwenye historia basi! Utatukuta mbele sisi tunazungumzia yaliyopo na yajayo! Historia inahukumu lakini haibadili chochote kinachoendelea!
Kwa taarifa yako hiyo historia ndio wako kwenye KARMA sasa, walidhani unyama ule utabaki kwa wengine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…