Samia akishinda Urais mwaka huu, Polepole, Gwajima na Mpina wataishije maisha yao hapa Tanzania?

Hao ni mashushushu tu wametumwa kwa kazi maalum ikiisha wanarudi chamani na kupewa pongezi za vitengo nyeti
 
Kesho Mungu ndio anaijua.....nani alijua leo Lissu atakua hai na mwenye afya njema huku Magufuli akiwa kaburini? Kesho yao Mungu anaijua na huenda ikawa bora sana kuliko unavyofikiria.
We nae ubakiege kwenye mada zako za kuliwa mbunye.

Mambo ya siasa yaache huelewi kitu.

Cc: Lucas Mwashambwa
 
Mimi nimefikiria kinyume na wewe, nimefikiria Samia akishinda urais ataongozaje nchi ikiwa urais wake umeanza kwa wingu la kukosa uhalali hivi?
 


Kwani sasa hivi wanaishije?
 
Mimi nimefikiria kinyume na wewe, nimefikiria Samia akishinda urais ataongozaje nchi ikiwa urais wake umeanza kwa wingu la kukosa uhalali hivi?
Ataongoza bora liende kwani yeye binafsi atapata hasara gani?
 
Ukila nyama ya binadamu huwezi kuacha, Maisha ya Samia ni mafupi, as long as tumeshafahamu Makamu anaweza kuwa Rais kwa njia rahisi hivyo basi, usijali watakavoishi... Soon watanzania watafanya Sherehe
Hizi Ramli bado zipo??? Tulijua July Ni sikukuuu kuu Tanzania Ila tupo August now
 
Hizi Ramli bado zipo??? Tulijua July Ni sikukuuu kuu Tanzania Ila tupo August now
Wewe unadhani wakina Kibajaji wanampenda Samia, mipango ipo tayari kinachosubiriwa ni operational opportunity.

Nikuulize swali, ni lini mara ya mwisho Samia amesafiri kwenda Ulaya?
 
Nani kakwambia kuna uchaguzi mwaka huu ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…