MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hii ndiyo CCM ninayoijua na hapo kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/DED/DSO/OCD na Mbunge wote hapo wapo tuMama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza.
Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa.
Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa sasa kimekuwa kikiwasha jenereta moja huku mengine 9 yakiwa yamezimwa.
Kilichomshutua mama ni baada ya kupata taarifa kuwa kituo kikubwa kama hicho kinafanyiwa ukarabati na watu 5 ambao hutumia masaa 4 kwa ajili ya chai na lunch kati ya masaa 8 ya kazi.
Karibu sana mwanza
Tuna mfumo wa kijinga snSasa hilo nalo hadi mheshimiwa mama aje kulishughurikia...kiongozi kama wewe ushalipata hebu chukua hatua
Mnyika yuko Marekani 😂Tuna mfumo wa kijinga sn
Mnyika ndiyo amezima hizo jenereta?Mnyika yuko Marekani 😂
Msemaji wetu huku UswahiliniMnyika ndiyo amezima hizo jenereta?
Naona tayari ulanzi upo kichwaniMsemaji wetu huku Uswahilini
Makonda yeye hafuatilii hilo tatizo, au hakuna punda wa kumfikisha hapo kwenye kituo?Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza.
Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa.
Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa sasa kimekuwa kikiwasha jenereta moja huku mengine 9 yakiwa yamezimwa.
Kilichomshutua mama ni baada ya kupata taarifa kuwa kituo kikubwa kama hicho kinafanyiwa ukarabati na watu 5 ambao hutumia masaa 4 kwa ajili ya chai na lunch kati ya masaa 8 ya kazi.
Karibu sana mwanza
kunakitu kinaitwa mgawanyo wa majukumuMakonda yeye hafuatilii hilo tatizo, au hakuna punda wa kumfikisha hapo kwenye kituo?
Mbege na kisusioNaona tayari ulanzi upo kichwani
Mjinga wewe huna hela ya kununua mbege unakula ulanzi pekeeMbege na kisusio
MSAGA SUMU mwenye ubora kabisaMama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza.
Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa.
Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa sasa kimekuwa kikiwasha jenereta moja huku mengine 9 yakiwa yamezimwa.
Kilichomshutua mama ni baada ya kupata taarifa kuwa kituo kikubwa kama hicho kinafanyiwa ukarabati na watu 5 ambao hutumia masaa 4 kwa ajili ya chai na lunch kati ya masaa 8 ya kazi.
Karibu sana mwanza
😂😂 Karibu sanaMjinga wewe huna hela ya kununua mbege unakula ulanzi pekee
Makonda anajua hilo?kunakitu kinaitwa mgawanyo wa majukumu
Wabenjuliwe tuHii ndiyo CCM ninayoijua na hapo kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/DED/DSO/OCD na Mbunge wote hapo wapo tu
Chichiemu hiyo wajameni🤪Hii ndiyo CCM ninayoijua na hapo kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/DED/DSO/OCD na Mbunge wote hapo wapo tu
Kulipana pesa za kwenda field M&E hakuna kazi wanafanyaWabenjuliwe tu