Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kusanyiko la majangili tupuChichiemu hiyo wajameni🤪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusanyiko la majangili tupuChichiemu hiyo wajameni🤪
Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza.
Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa.
Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa sasa kimekuwa kikiwasha jenereta moja huku mengine 9 yakiwa yamezimwa.
Kilichomshutua mama ni baada ya kupata taarifa kuwa kituo kikubwa kama hicho kinafanyiwa ukarabati na watu 5 ambao hutumia masaa 4 kwa ajili ya chai na lunch kati ya masaa 8 ya kazi.
Karibu sana mwanza
Yaani tuna utitiri wa viongozi katika eneo moja wakiwa na jukumu la kufanya kazi moja lakini kazi hawafanyi..Hii ndiyo CCM ninayoijua na hapo kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/DED/DSO/OCD na Mbunge wote hapo wapo tu
Ongeza na meneja wa TANESCO wilaya, mkoa, kanda, Taifa, bila kumsahau meneja wa kituo hicho,Hii ndiyo CCM ninayoijua na hapo kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/DED/DSO/OCD na Mbunge wote hapo wapo tu
Shida sio mfumo, shida hapa ni uzembe wa watu,Yaani tuna utitiri wa viongozi katika eneo moja wakiwa na jukumu la kufanya kazi moja lakini kazi hawafanyi..
Honestly, kuwa na utitiri wa viongozi hawa eneo moja ni wastage of resources..
Mathalani kwenye hili RC anakuwa anafanya nini? Mkurugenzi wa Jiji au manispaa anakuwa anafanya nini? Na si kuna Mayor wa Jiji na manispaa pia? Wanafamya nini wote hawa? Na, waziri anayesimamia sekta ya nishati anakuwa anafanya nini? Vipi naibu wake na vipi katibu mkuu wa wizara ya sekta ya nishati?
Yaani hata hili la kuhakikisha tu kuwa genereta zilizo kwenye eneo la utawala la RC wa Mwanza zinafanya kazi na watu kupata umeme ni mpaka Rais wa nchi ende kulitatua!!?????
Ki ukweli huu ni uthibitisho tosha kuwa tunatakiwa kuungalia upya mfumo wetu wa utawala. Huu tulio nao una kasoro kubwa sana.
Nguvu na maamuzi yamekuwa centralized serikali kuu zaidi badala ya local governments. Inawezekana hawa wanaliona tatizo lakini hawana mamlaka na baadhi ya watendaji wa taasisi fulani fulani. Maamuzi mpaka yafanywe na Rais...
He u kwanza ncheke...CCM hoyeeeee.Hii ndiyo CCM ninayoijua na hapo kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/DED/DSO/OCD na Mbunge wote hapo wapo tu
Kuna maana gani linazungumzwa suala la uongozi wa CCM unapotezea/kuharisha mada?Mnyika yuko Marekani [emoji23]
Shida Ni huyo anaekuja Mwanza .. sidhani kama Ni kituo.Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza.
Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa.
Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa sasa kimekuwa kikiwasha jenereta moja huku mengine 9 yakiwa yamezimwa.
Kilichomshutua mama ni baada ya kupata taarifa kuwa kituo kikubwa kama hicho kinafanyiwa ukarabati na watu 5 ambao hutumia masaa 4 kwa ajili ya chai na lunch kati ya masaa 8 ya kazi.
Karibu sana mwanza
Inashangaza Sana.Hii ndiyo CCM ninayoijua na hapo kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/DED/DSO/OCD na Mbunge wote hapo wapo tu
Punguza kiherehere niliyemquote amenielewa vema tu!Kuna maana gani linazungumzwa suala la uongozi wa CCM unapotezea/kuharisha mada?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii ndiyo CCM ninayoijua na hapo kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/DED/DSO/OCD na Mbunge wote hapo wapo tu
Hao wote uliowataja hapo ni wanausalama wa chama pendwa. Kuhusu kuwahudumia wananchi mtajibeba wenyeweHii ndiyo CCM ninayoijua na hapo kuna RC/RAS/RPC/RSO/DC/DAS/DED/DSO/OCD na Mbunge wote hapo wapo tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza.
Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa.
Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa sasa kimekuwa kikiwasha jenereta moja huku mengine 9 yakiwa yamezimwa.
Kilichomshutua mama ni baada ya kupata taarifa kuwa kituo kikubwa kama hicho kinafanyiwa ukarabati na watu 5 ambao hutumia masaa 4 kwa ajili ya chai na lunch kati ya masaa 8 ya kazi.
Karibu sana mwanza
One in a million,Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza.
Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa.
Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa sasa kimekuwa kikiwasha jenereta moja huku mengine 9 yakiwa yamezimwa.
Kilichomshutua mama ni baada ya kupata taarifa kuwa kituo kikubwa kama hicho kinafanyiwa ukarabati na watu 5 ambao hutumia masaa 4 kwa ajili ya chai na lunch kati ya masaa 8 ya kazi.
Karibu sana mwanza
Jamaa ni artist amefikisha ujumbe kwa namna nzuri ya sanaa!Mleta mada nahisi umewasemea kijanja hao jamaa wa Tanesco huko Nyakato.
Akirudi atamwambia waziri husika na hilo mkalitazame.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app