Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam



Golden Man and the best leader of all times[ mzee warioba]. Si chawa kama JK. He is the only one tuko naye. Wacha wamrambe miguu sasa. Walimsema vibaya lakini hawakujua kwamba hii ni brain hasa. CCM ni bure sana. Mnakumbatia watu wa ovyo kama mzee Wasira.
 
Atangaze tu kumwambia akamilishe katiba yake … ndio hivyo tu.
Haya mapicha yana faida gani kwa sasa ? Siku 100 zinakaribia
 
Hata yeye mwenyewe anajua kuwa yeye ndiye Mzee pekee aliyebakia mwenye kuheshimiwa na wananchi.

Na anajua sababu ya wananchi kumpa hiyo heshima na imani juu yake.

Anaelewa fika ni mstari gani hatakiwi kuvuka ili ku maintain hiyo trust
 
Huwezi kuandika katiba mpya juu ya damu za mamia ya vijana wa kitanzania waliouawa. Ni lazima utatoka na katiba mbovu kuliko iliyopo sasa. Katiba huandikwa na watu wanaoaminiana, walio na upendo na walio huru. Ni lazima kilichotokea tarehe 29 kiwekwe hadharani na watu walio huru kwanza.
 
Atangaze tu kumwambia akamilishe katiba yake … ndio hivyo tu.
Haya mapicha yana faida gani kwa sasa ? Siku 100 zinakaribia
Naomba uma-mark manno yangu. Bila Samia kutimulia, akiruhusiwa kuendelea kuwa rais na katiba iandikwe yeye akiwa rais, basi tutegemee katiba mbovu kuliko hii ya sasa. Sehemu waliyofika CCM ni vigumu sana kuachia nchi kwa kura. Samia mwenyewe hajiamini na hata kwa miujiza akiweza kung'ang'ania kiti mpaka 2030, atataka kuweka mtu wa kulinda madhambi yake kwa kutumia nguvu.
 
Hata yeye mwenyewe anajua kuwa yeye ndiye Mzee pekee aliyebakia mwenye kuheshimiwa na wananchi.

Na anajua sababu ya wananchi kumpa hiyo heshima na imani juu yake.

Anaelewa fika ni mstari gani hatakiwi kuvuka ili ku maintain hiyo trust
Nakazia
 
ccm ni kama mtambo amakini unajiendesha wenyewe hii kitu inawaumiza kichwa sana chadema
 
Hata yeye mwenyewe anajua kuwa yeye ndiye Mzee pekee aliyebakia mwenye kuheshimiwa na wananchi.

Na anajua sababu ya wananchi kumpa hiyo heshima na imani juu yake.

Anaelewa fika ni mstari gani hatakiwi kuvuka ili ku maintain hiyo trust

..awe makini asikubali kuwa dodoki la kuwasafisha watawala wachafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…