Samia awapiga ‘stop’ mawaziri kuajiri maofisa habari binafsi

Maofisa habari binafsi ndio chawa wa wanasiasa.
 
Endelea kujidanganya kama waliokua na nguvu kubwa kisiasa saa hizi hawasikiki sidhani kama hiko CHAUMA kina cha kufanya 2025 hakuna mwenye hoja wote walamba asali bora tuendelee na CCM
Nani aongozwe na chama cha mashangingi na madangaji..!!
 
Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka wizara kujibu kauli za upotoshaji zinazotolewa na wanasiasa kuhusu utendaji wa Serikali.

Katika kulitekeleza hilo, amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi, badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali.

Rais Samia ameyasema hayo leo, Machi 2, 2023 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa faragha na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Arusha (AICC).

Agizo lake hilo kwa wizara linatokana na kile alichokitolea mfano kuwa, amewahi kuibuka mwanasiasa aliyeikosoa Serikali kutumia fedha nyingi kutafuta vyanzo vipya vya maji, ilhali kuna visima kadhaa vilishachimbwa.

Amesema wizara inayohusika na hilo, ilipaswa kusimama haraka na kutolea ufafanuzi kuhusu hilo, badala ya kusubiri taarifa za upotoshaji zisambae.

“Nimewahi kuona kiongozi wa kisiasa akiilaumu Serikali inatumia fedha nyingi kutafuta vyanzo vipya vya maji kupeleka kwa wananchi, ilhali kuna visima kadhaa vilichimbwa nyuma na serikali iliviacha.

“Wizara inayohusika na hili, ilipaswa kusimama haraka kujibu kutoa facts (ukweli), fugures (takwimu) na kumueleza kwanini visima hivyo viliachwa na kwamba vimeachwa au havikuachwa,” amesema.

Mkuu huyo wa nchi amefafanua visima vilivyotajwa na mwanasiasa huyo ndiyo vilivyoisaidia Dar es Salaam wakati wa changamoto ya ukame.
Kwa upande mwingine, Rais Samia amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi.

“Najua kila Wizara ina kitengo cha habari, vitengo hivi vinatumikaje, vipo tu vimekaa havifanyi kazi lakini bado mawaziri mmeajiri maafisa wenu habari binafsi wa kutoa taarifa zenu na si taarifa za Serikali, sasa hili tukarekebishe” amesema.

MWANANCHI
Ya faragha yanaanikwa nje?
 
Mimi kama mimi.

Nani alikudanganya kuna kiumbe kisichohitaji huruma?
Ajabu sana!

Yani kuna watu wanamuona Rais kama nani sijui!

Yule ni mwanadamu kama wanadamu wengine tu. Ndiyo maana mara kwa mara anaomba tumuombee.

Kwenye Biblia, Mfalme Farao mwenyewe alishindwa kutafsiri ndoto akaomba msaada kwa Yusufu aliyekuwa mtumwa tu aliyefungwa gerezani. Unaweza ukawa Rais lkn baadhi ya mambo ukashindwa kuyafanya mwenyewe pamoja na mamlaka makubwa uliyonayo.

Kusema ukweli mama anastahili kuhurumiwa na kuombewa sana.
 
Mbona matusi? We ni mwanamke kutongozwa ni sunna na bahati... acha kibri nataka niurahisishe uzee wako.
Tafadhali usiinguze mambo dini usiyoyajua, wacha kuuzulia Uislam.

Huelewi maana ya neno "sunna". Nakushauri kabla hujakurupuka na maneno usiyoyajua uliza.
 
Uislam umeingiaje hapo? Anyway najua unataka kuniburuta kwenye kichaka chenu huko siji...

Faiza najua menopause na upweke unakusumbua, nipe nafasi nikusaidie katika uzee na kuyapooza maradhi yako.
 
Nikuuluze wewe ulieleta neno "sunna", neno na mila ya Waislam ilihusu nini?

Ulianzishe wewe utake kuusukuma mpira kwengjne? Unaelewa maana ya neno sunna?
 
Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka wizara kujibu kauli za upotoshaji zinazotolewa na wanasiasa kuhusu utendaji wa Serikali.

Katika kulitekeleza hilo, amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi, badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali.

Rais Samia ameyasema hayo leo, Machi 2, 2023 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa faragha na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Arusha (AICC).

Agizo lake hilo kwa wizara linatokana na kile alichokitolea mfano kuwa, amewahi kuibuka mwanasiasa aliyeikosoa Serikali kutumia fedha nyingi kutafuta vyanzo vipya vya maji, ilhali kuna visima kadhaa vilishachimbwa.

Amesema wizara inayohusika na hilo, ilipaswa kusimama haraka na kutolea ufafanuzi kuhusu hilo, badala ya kusubiri taarifa za upotoshaji zisambae.

“Nimewahi kuona kiongozi wa kisiasa akiilaumu Serikali inatumia fedha nyingi kutafuta vyanzo vipya vya maji kupeleka kwa wananchi, ilhali kuna visima kadhaa vilichimbwa nyuma na serikali iliviacha.

“Wizara inayohusika na hili, ilipaswa kusimama haraka kujibu kutoa facts (ukweli), fugures (takwimu) na kumueleza kwanini visima hivyo viliachwa na kwamba vimeachwa au havikuachwa,” amesema.

Mkuu huyo wa nchi amefafanua visima vilivyotajwa na mwanasiasa huyo ndiyo vilivyoisaidia Dar es Salaam wakati wa changamoto ya ukame.
Kwa upande mwingine, Rais Samia amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi.

“Najua kila Wizara ina kitengo cha habari, vitengo hivi vinatumikaje, vipo tu vimekaa havifanyi kazi lakini bado mawaziri mmeajiri maafisa wenu habari binafsi wa kutoa taarifa zenu na si taarifa za Serikali, sasa hili tukarekebishe” amesema.

MWANANCHI
hilo tu linatosha kumtengua waziri. kwa nini anawabembeleza kama watoto aliowazaa yeye mwenyewe? hii ni nchi siyo familia yake binafsi
 
Nikuuluze wewe ulieleta neno "sunna", neno na mila ya Waislam ilihusu nini?

Ulianzishe wewe utake kuusukuma mpira kwengjne? Unaelewa maana ya neno sunna?
Haya tuyaache, turudi kwenye ishu ya msingi.

Nakupenda faiza, unajua tumetoka mbali sana eeh... tumalizie uzee basi nikuuguze na vimarqdhi vyako.
 
Namhurumia sana Bi Samia, hapo ni kama kumpigia mbuzi guitar.

Kama zipo sera na taratibu za kuendesha kila wizara na idara ya serikali, anaekiuka ni safari na kuhukumiwa na adhabu aionje, kwanini akakiuka sera na taratibu.

Kama hakuna, ziwepo.

Kazi kubwa ya bunge sio kwenda pale kupiga porojo zisizo mpango, watunge sera na taratibu za kuendesha kila kitu kwenye nchi, na kila sera itungiwe sheria na adhabu ya kuikiuka.
Yule ni tskataka ya chooni
 
Back
Top Bottom