PostGE2025 Samia hapa Kafeli kabla ya kuanza.. Eti tume imchunguze halafu impe ripoti🤣

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Watu wanadai kikundi kinachoteka na kupoteza watu alikiunda yeye ili kulinda kiti dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa. RIP Polepole.

Watu wanadai aliyetoa amri ya kupiga risasi za moto wananchi wanaoandamana ni yeye.

Aliyeteua kiongozi wa tume huru ya Uchaguzi ambayo ndo iliharibu uchaguzi ni yeye.

Aliyeenda kuapishwa kambi ya jeshi ni yeye.

Aliyebambikizia kesi ya Uhaini Lissu ni yeye.

Ilidaiwa watu walioua walitoka Uganda.

Hata hivyo hiyo tume kasema ni yake. Yeye ndo anajiita rais.(Tume ya Rais ya Uchunguzi).

Sisi tunataka tume ya mahakana, Ambayo matokeo yake yanakuwa kwa Wananchi. Hii ya Samia ni yake na matokeo ya Uchunguzi ni yake. Nyie mtapewa hadidu rejea na kutaja majina ya wapinzani wake ili kuwanyong'onyesha.

Kasema Jaji katoka SADC kusema kweli SADC haijahusishwa bali ni baada ya yule mama kuja Tanzania ndo akamuomba mtu wake.

Kataja East Africa Community imetoa jaji ni uongo, Jaji kapewa na Mseven ambaye hataki kutoka madarakani.

Basi angewaandikia SADC na EAC wwampe majaji. Ndo maana hujaona SADC representatives. Yeye amewataja sadc iili kuhadaa watu na kujivika ngozi ya kondoo.. Dunia ya sasa si zamani.. CXM wajue Siasa zimebadilika.. CCM wamezoea uongo uongo.

Kashazoea uraghai

KUMBUKA
Tulikataa Wachunguzi wa kimataifa kwa kigezo haya ni mambo yetu ya ndani! Hawa wa uganda na Namibia wa kazi gani?

Mtabana mtaachia.
 
Watu wanadai kikundi kinachoteka na kupoteza watu alikiunda yeye.

Watu wanadai aliyetoa amri ya kupiga risasi za moto wananchi wanaoandamana ni yeye.

Aliyeteua kiongozi wa tume huru ya Uchaguzi ambayo ndo iliharibu uxhaguzi ni yeye.

Aliyeenda kuapicha kambi ya jeshi ni yeye.

Aliyebambikizia kesi ya Uhaini Lissuni yeye.

Ilidaiwa watu walioua walitoka Uganda.

Hata hivyo hiyo tume kasema ni yake. Yeye ndo anajiita rais.

Sisi tunataka tume ya mahakana. Ambayo matokeo yake yanakuwa kwa Wananchi.

Kasema Jaji kayoka SADC kusema kweli SADC haijahusishwa bali ni baada ya yule mama kuja Tanzania ndo akamuomba mtu wake.

Kataja East Africa Community imetoa jaji ni uongo, Jaji kapewa na Mseven ambaye hataki kutoka madarakani.

Basi angewaandikia SADC na EAC wwampe majajji.. Sio kujipachika.

Kashazoea uraghai
New chief Mangungo still in the making.
 
Anacheza na watu tu huyu mama.
 
Nashindwa hata kutoa maoni.
 
Tume feki tuikatae
 
Mimi sijaelewa.
Labda nafuatilia habari with a mind that is not focused,akili ambayo siyo makini.

Mimi nilidhani Tume imesharipoti na sasa imekuja kutoa taarifa.
Lakini hii Tume itatoa ripoti mapema Mwaka ujao.
Meanwhile watu watakuwa wanatekwa tena na tena.
Tume nyingine tena, wakati haya mambo yote yalipaswa kuanza na kwisha na Jaji Chande.
 
Wana buy time msahau na maumivu yenu yapungue.
 
Mimi sijaelewa.
Labda nafuatilia habari with a mind that is not focused,akili ambayo siyo makini.

Mimi nilidhani Tume imesharipoti na sasa imekuja kutoa taarifa.
Lakini hii Tume itatoa ripoti mapema Mwaka ujao.
Meanwhile watu watakuwa wanatekwa tena na tena.
Tume nyingine tena, wakati haya mambo yote yalipaswa kuanza na kwisha na Jaji Chande.
Hii ni tume ya 3 kuundwa baada ya matukio ya Oktoba 29?..

Tofauti zao ni ipi?..

Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom