Samia hataki kabisa kusikia habari za urais 2025

Kuna unabii unanijia ntausema muda na majira yake ikifika
 
Kutoka korido za CCM Chamwino, mama ameanza kuwaambia wandani wake kuwa habari za kugombea urais 2025 hataki kabisa kusikia,tena anadai Kama ingekuwa ni kitu chepesi basi angestaafu hata Jana. Madai yake makubwa ni jinsi kila Jambo analogusa linashindwa kabisa kufanyika. Miradi iliyokuwa inaenda vizuri kabla ya yeye kushika usukani imekwama, Dar haina maji, nchi haina umeme. Watu wanajenga shade ya mlinzi kwa mil 11, watoto mikopo yao vyuoni haileweki, kwa mujibu wa ilani ya chama chake ilitakiwa vijiji vyote viwe na umeme lakini mpaka Sasa mambo yanasusua.k
Kitu kinachomuumiza mama akili ni jinsi gani anavyojitahidi kukopa lakini hela zikifika nyumbani hamna Cha maana kinachofanyika zaidi ya TRAB na TRAT.
Mama kaamua 2025 anarudi nyumbani kupumzika kulea wajukuu na kufanya majukumu mengine madogo madogo Kama ya usuluhishi wa kimataifa atakapochaguliwa na rais anayefuata.
Pia mama anataka legacy yake kubwa iwe ni rais pekee aliyejenga madarasa mengi kwa muda mfupi tangu tupate Uhuru.

Hivi nyie sukuma gang bado mnaendelea kuota mchana..
 
aii
giphy.gif
 
Zisiwe hadithi za kufikirika.
 
Nina ndugu yng mmoja akikwambiya chakula fulani hapendi kula,

Siku kikipikwa kile asichopenda atakomba hadi sufuria..

Asiyependa kula huonekana mezani,
Na sio blah blah.
 
Kutoka korido za CCM Chamwino, mama ameanza kuwaambia wandani wake kuwa habari za kugombea urais 2025 hataki kabisa kusikia, tena anadai Kama ingekuwa ni kitu chepesi basi angestaafu hata Jana. Madai yake makubwa ni jinsi kila Jambo analogusa linashindwa kabisa kufanyika.

Miradi iliyokuwa inaenda vizuri kabla ya yeye kushika usukani imekwama, Dar haina maji, nchi haina umeme. Watu wanajenga shade ya mlinzi kwa mil 11, watoto mikopo yao vyuoni haileweki, kwa mujibu wa ilani ya chama chake ilitakiwa vijiji vyote viwe na umeme lakini mpaka Sasa mambo yanasusua

Kitu kinachomuumiza mama akili ni jinsi gani anavyojitahidi kukopa lakini hela zikifika nyumbani hamna Cha maana kinachofanyika zaidi ya TRAB na TRAT.

Mama kaamua 2025 anarudi nyumbani kupumzika kulea wajukuu na kufanya majukumu mengine madogo madogo Kama ya usuluhishi wa kimataifa atakapochaguliwa na rais anayefuata.

Pia mama anataka legacy yake kubwa iwe ni rais pekee aliyejenga madarasa mengi kwa muda mfupi tangu tupate Uhuru.
Umesahau legacy yake iwe kujenga madarasa na vyoo vingi mashuleni, stendi na vyuoni.
Amefanikiwa kuwasaidia wananchi zaidi kt masuala ya kunya na kukojoa tu, bure kabisa huyu mwanamke anayewaza kunya tu uko chooni
 
Utakuwa mwandishi wa raia mwema wewe si bure. Uraisi mtamu wengi afrika wanatamani wafie kwennye hicho kiti wakibadili katiba na uongo mwingi.reference iko kwa M7.
 
Back
Top Bottom