Samia hataki kabisa kusikia habari za urais 2025

Sa100 yupi huyo?
 
Huyu Alidhani Mtangulizi wake Alikua Katili na mwenye kufokea wasaidizi wake. Yeye Akataka kucheka Cheka na nyani. Sasa Atavuna Alichopanda.

Watanzania bila kuswagwa nchi Haiendi. Alikuja kikwete Mzee wa Tabasamu. Akaula wachuya Ndoto za maisha bora kwa kila Mtanzania zikabaki kabatini. Ikawa maisha bora kwa chawa wake.
 
Huyu kashisnwa mapema sn
 

Nkikumbuka ulivokua ukimsifia magu then mama alivoingia umegeuka [emoji23][emoji23]
 
Msikilizeni Kakurwa hapa kuna kitu huko ndani kwao

View attachment 2420578
Ukiwaangalia vizuri wasikilizaji nyuso zao zinaonyesha mashaka mashaka na akili zao zinajiuliza huyu mheshimiwa anajiamini nini kuongea maneno kama hayo mbele ya hadhira iliyosheheni makamera na vinasa sauti kibao ?!! The guy is so firm into his beliefs !! Tusubiri tuone !!!
 
Ni calculated move. Hakuongea tu!
 
kama ni kweli watu wengi watafrahi
inawezekana kabisa unajua hata yeye sio kwamba akitoka kazini anaenda nyumbani anajifungia tu anaongea na mume wake anapga stori na marafiki zake nfdugu zake labda wengine wanamwona kwa mbali tu wanawake wengi hueleza mambo mengi ya moyoni kuliko wanaume
 
Hizi ni ndoto za alinacha,asikwambie mtu cheo kitamu
 
Mkuu

KWELI wewe ni msagasumu!!

Sisi tunaimba na kina Lucas mwashambwa kuwa "Mama anaupiga mwingi, wewe una saga sumuui!!!

Sawa jamaa aiseh!!
 
Ni calculated move. Hakuongea tu!
Inaonekana kama ni move ya kumuachia MADARAKA FDR,kama Tumia Akili alivotuandikia huku jamvini!

"Last digit ya miaka inajidhirisha"

Ukiangalia last digit ya 3 na 5 inatupa 2023/2035 Ili upate 12!

Sasa inaonekana 2023 ni very crucial year KWA nchi yangu Tanzania!

Mungu atutangulie kwenye hayo mageuzi kwa maana mageuzi huwa ni machungu mno!!
 
Mama anataka kabla ya kuondoka anataka auze bandari
 
Ndoto za Ali nacha ndio maana mnamkwamisha basi kwa taarifa zetu haondoki mpaka ahakikishe Zanzibar inakuwa huru kwa sababu tushajuwa huu muungano ni chaka la nyinyi wabongo kutukandamiza c muungano wenye manufaa kwetu.
 
Kuna gazeti liliandika kuwa Mama hatagombea uchaguzi ujao, aliliijia juu, na likala BAN ya muda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…