Samia, kamatakamata ya Chadema na watanganyika, hao uliowaamini wanakuharibia. Kama crooked dictators walianguashwa, wapambe watakuangusha

Samia, kamatakamata ya Chadema na watanganyika, hao uliowaamini wanakuharibia. Kama crooked dictators walianguashwa, wapambe watakuangusha

Anguko gani tena? mbona kashaanguka
Mambo bado safari ndio inaanza
1000075022.jpg
 
The World : Samia is a dictator.

Samia : You think so? You ain't seen nothing yet. Let me give you something else to write about.
 
Yani huyu mama siku zinavyozidi kuyoyoma ndio anazidi kuonyesha uwezo wake wa kichwa ulivyo. Ni aibu sana kwa alipoifikisha nchi hivi sasa. Sijui hata analalaje kwa haya anayoyafanya
Haya ni matatizo ya kuwapa watu wenye uwezo mdogo uongozi.

Samia kasema hakufanya vizuri shule, kafeli Form Four.

Haya, unaweza kusema labda shule si kila kitu.

Samia hana distinction nyingine yoyote ya maana ukiondoa ofisi za kupeana.

How did she get to be the VP?

Yani unaweza kukuta huyo ni demu wa Kikwete tu kajipitisha pitisha kazawadiwa nchi.
 
Kamata kamata lazima iendelee ili kuhakikisha uhalifu wa tarehe 29 haujirudii.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Haya ni matatizo ya kuwapa watu wenye uwezo mdogo uongozi.

Samia kasema hakufanya vizuri shule, kafeli Form Four.

Haya, unaweza kusema labda shule si kila kitu.

Samia hana distinction nyingine yoyote ya maana ukiondoa ofisi za kupeana.

How did she get to be the VP?

Yani unaweza kukuta huyo ni demu wa Kikwete tu kajipitisha pitisha kazawadiwa nchi.
Kwa andishi lako tu hili unaonekana kichwani patupu!!
 
Kuna watu wamemzunguka wamefuga vitambi tu hawamwambii ukweli. It's unfortunate that even dr. Nchimbi ana wasiwasi ya kujipambanua asije KUKATWA. Right now anaangalia maslah yake kwanza.
 
Kweli 9 D ni muhimu maana naona serikali awataki amani, mbona wamesahau haraka wanategemea nini? Kamata kamata ndio suluhu au?
 
Polisi wanafanya kazi nzuri sana ya kuharakisha anguko kuu la Samia, wanaifanya kazi hii kwa ustadi mkubwa kiasi kwamba Samia mwenyewe anaamini kuwa wanamsaidia kuwakomesha wabaya wake.
 
Mwenye hekima atokee azime moto huu unaoendelea kuwaka chini kwa chini
 
Back
Top Bottom