Teh teh teh, kwamba yupo yeye aliye juu🤣🤣🤣UNa uhakika Yeye ni Yeye.?
Inavyoonekana kwa sasa Yeye amekuwa yeye.
Akili zimewaruka hawajui watatokaje mbele ya camera.Anazidi kujichanganya sielewi reasoning ya viongozi wetu ikoje.
Kwa akili ya kawaida ukipiga hesabu zinakataa katakata.
Mambo bado safari ndio inaanzaAnguko gani tena? mbona kashaanguka
Matendo yao yanaumiza sana moyo.Akili zimewaruka hawajui watatokaje mbele ya camera.
Wewe hawajakukamata tu?Nakushauri kwa nia njema ti komesha kamatakamata ya watu.
Hawa wapambe , machawa wanakutafutia anguko!
Haya ni matatizo ya kuwapa watu wenye uwezo mdogo uongozi.Yani huyu mama siku zinavyozidi kuyoyoma ndio anazidi kuonyesha uwezo wake wa kichwa ulivyo. Ni aibu sana kwa alipoifikisha nchi hivi sasa. Sijui hata analalaje kwa haya anayoyafanya
Kwa andishi lako tu hili unaonekana kichwani patupu!!Haya ni matatizo ya kuwapa watu wenye uwezo mdogo uongozi.
Samia kasema hakufanya vizuri shule, kafeli Form Four.
Haya, unaweza kusema labda shule si kila kitu.
Samia hana distinction nyingine yoyote ya maana ukiondoa ofisi za kupeana.
How did she get to be the VP?
Yani unaweza kukuta huyo ni demu wa Kikwete tu kajipitisha pitisha kazawadiwa nchi.
Njoo basi mkuu.Ndivyo mlivyozoea kutenda ufedhuli.