Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini

Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini

Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%

View: https://youtu.be/ZH1RjR4_oQw?si=o9ErriA5N0-IYLKv

Tatizo siku hizi tuna machawa yaani wanabisha hata vitu vya kitaifa ambavyo vipo wazi. Mama bado haya yote anaweza kabisa kurekebisha
 
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!!

View: https://youtu.be/ZH1RjR4_oQw?si=o9ErriA5N0-IYLKv

Tatizo siku hizi tuna machawa yaani wanabisha hata vitu vya kitaifa ambavyo vipo wazi. Mama bado haya yote anaweza kabisa kurekebisha

Au siyo? 😁😁👇👇
Screenshot_20250212-120700.jpg
 
Dalali na rushwa ni pete na kidole.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Au siyo? 😁😁👇👇View attachment 3236418

Watanzania hawahitaji huu upuuzi kujua ukweli. Kila siku hapa Polisi na wafanyakazi wa serikali wanaomba rushwa barabarani kila siku wewe hapa unataka kutuaminisha tuko vizuri!. Ndiyo maana nimesema hata kwa vitu ambavyo viko wazi machawa wanajaribu kupotosha. Zamani rushwa ilikuwa adui wa taifa nzima. Kaulizeni watanzania kama Tanzania rushwa imepungua!. Wakati pekee rushwa ilipungua ni wakati wa Magufuli alipoingia na wananchi wanajua hilo. Rushwa kwa sasa ni janga. Yaani ni wala rushwa tu. Hata nyie machawa mnapewa pesa ya rushwa

View: https://youtu.be/PlcYUOjmP_0?si=GlyrxMnlqmpP5uHF
 
Watanzania hawahitaji huu upuuzi kujua ukweli. Kila siku hapa Polisi na wafanyakazi wa serikali wanaomba rushwa barabarani kila siku wewe hapa unataka kutuaminisha tuko vizuri!. Ndiyo maana nimesema hata kwa vitu ambavyo viko wazi machawa wanajaribu kupotosha. Zamani rushwa ilikuwa adui wa taifa nzima. Kaulizeni watanzania kama Tanzania rushwa imepungua!. Wakati pekee rushwa ilipungua ni wakati wa Magufuli alipoingia na wananchi wanajua hilo. Rushwa kwa sasa ni janga
Wapi ambako hawaombi rushwa mhamie?
 
Angejitahidi kwenye Haki hayo mengine yangebebeka.
 
Hatujawekwa Tanzania na Mama yako tumewekwa na Mungu. Mama naye ipo siku ataondoka sisi tutabaki na Mungu wetu. Hili taifa tutalipigania mpaka mwisho. Yaani hata wewe ni kama unasema rushwa ni powa tu. Adui sio Lissu kwa watu wengi ni rushwa sio Lissu!
Mwambie awahamishie kule ambako hawatoi rushwa badala ya kunilaumu Mimi.
 
Bandari Bagamoyo keshapewa SaudiA....Dar kapewa DPW; hivi kwani DPW wamepewa zote za baharini, mitoni na maziwani?

SaudiA anapewaje sasa ya Bagamoyo?

Au ndo Mbuzi wa Bwana Heri, Shamba la Bwana Heri....
 
Faida ni Haki na rasilimali kwenda kwa wananchi na sio machawa. Kitendo cha Raisi wa nchi kuthamini machawa kuliko wananchi masikini linasikitisha. Rushwa na uchawa ni majanga
Haki ya Rasilimali zipi unazopata wewe nyumbu?
 
Hamia burundi,ila ujue hata ujira wa chawa huko haupo.

Kama mna hoja za kupinga hayo mambo matatu toweni hoja za kupinga na sio vihoja. Kuna taibia ya machawa kushindwa kujibu hoja na kuingiza mambo mengine. Badala ya kujibu hoja wanaongea mambo ya kuhama nchi. Toa hoja mfano tueleze kama unafikiri rushwa imepungua? Haki imeongezeka na Tanzania kama kuna jitihada za kotosha za kukomesha umasikini
 
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini

Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%

View: https://youtu.be/ZH1RjR4_oQw?si=o9ErriA5N0-IYLKv

Tatizo siku hizi tuna machawa yaani wanabisha hata vitu vya kitaifa ambavyo vipo wazi. Mama bado haya yote anaweza kabisa kurekebisha

Usaid ililetwa na Samia?
 
Back
Top Bottom