- Thread starter
- #21
Jibu hoja maswali ya nini ? Yaani mkishidwa hoja mnakuja na maswali toa hoja yako tofauti na yangu. Huwezi kuwa Raisi badala ya kutatua matatizo unaweka lawama wakati wewe ndiyo kiongozi. Hata umasikini na Rushwa haujaletwa na Samia lakini kama Raisi ni mambo ambayo yamemshinda kwa hii miaka yake ya Uraisi. Tokea Magufuli aondoke rushwa kwa maono ya wengi imeongezeka na haijapungua. Hivyo naombeni mjibu hoja sio kuweka maswali. Huwezi kwenda kwenye debate badala ya kutoa hoja una uliza maswali tu kama huna hoja unavyamazaUsaid ililetwa na Samia?
"Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%. "
Jibu hoja