Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!

Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!. Hivyo mnaongelea misaada lakini katukana na kuwachamba kila mtu kwasababu yeye tu na familia yake ndiyo wa maana na wapo sawa wengine wote waangalizi, mashirika ya dini , wadau wa misaada wana wivu!!!! . Huyu ndiyo yule Mama kweli wa 2021-2022 tumemjua na makucha yake sasa


View: https://youtu.be/mUQEkFi0nG8?si=rk0Hp8hICP53SRug


1764692771899.png
 
😁😁

Mlivyokuwa mna msifia Sasa before hajawa president , Kwamba Yuko humble hahaa kwanza hapo ncheke
 
Back
Top Bottom