Tetesi: Samia kuhudhuria mazishi ya Shinzo Abe Japan

Tetesi: Samia kuhudhuria mazishi ya Shinzo Abe Japan

Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe.

Abe alipigwa na risasi iliyosababisha kifo chake.
Kuna tatizo gani akihudhuria? Tena Japan ni washirika wetu wakubwa wa kimaendeleo.

Unakoelekea unaenda kuwa mchawi kamili, Kwa Sasa umekosa vitendea kazi tu.
 
Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe.

Abe alipigwa na risasi iliyosababisha kifo chake.
Inakuuma? Kama ndivyo panda juu wende ukazibe.... alopewa kapewaaa.

Enzi ya KAYAFA mlicheka sana sasa ni zamu ya wengine...

Achekaye mwisho hucheka daima.
 
Huyu mama hana wawakilishi kwani? Kila safari ya kimataifa yeye tu. Makamo wake anapigishwa town trip mpaka anakosa cha kuongea kufikia kusingizia wavuvi wanatumia maji ya maiti. Hii yote ni kudumaa kwa akili kwa safari za ndani humu humu.
Mbona enzi za umakamo wake alikuwa anatumwa kuwakilisha, ila yeye kila sehemu anakomaa mwenyewe. Yani sasa hivi watu wakiona ushungi tu wanajua shangazi kaja.
 
Back
Top Bottom