Tetesi: Samia kuhudhuria mazishi ya Shinzo Abe Japan

Kuzurura kila siku kuomba mikopo ya kujenga vyoo, Kenya wanazurura wanaleta wawekezaji wa maana kama Microsoft, AWS etc. Pumbav
Sehemu kubwa ya mikopo inapelekwa Zanzibar deni tunalipa bara
 
Wewe chadema mambo ya ccm yanakukereta vipi? Au unatekeleza ile sababu iliyojificha[emoji16]
Kuna tatizo gani akihudhuria? Tena Japan ni washirika wetu wakubwa wa kimaendeleo.

Unakoelekea unaenda kuwa mchawi kamili, Kwa Sasa umekosa vitendea kazi tu.
 
Huyu mama hana wawakilishi kwani? Kila safari ya kimataifa yeye tu. Makamo wake anapigishwa town trip mpaka anakosa cha kuongea kufikia kusingizia wavuvi wanatumia maji ya maiti. Hii yote ni kudumaa kwa akili kwa safari za ndani humu humu.
Mbona enzi za umakamo wake alikuwa anatumwa kuwakilisha, ila yeye kila sehemu anakomaa mwenyewe. Yani sasa hivi watu wakiona ushungi tu wanajua shangazi kaja.

Leo yuko Msumbiji. Labda ataondokea huko huko ..
 
Huyu mama hana wawakilishi kwani? Kila safari ya kimataifa yeye tu. Makamo wake anapigishwa town trip mpaka anakosa cha kuongea kufikia kusingizia wavuvi wanatumia maji ya maiti. Hii yote ni kudumaa kwa akili kwa safari za ndani humu humu.
Mbona enzi za umakamo wake alikuwa anatumwa kuwakilisha, ila yeye kila sehemu anakomaa mwenyewe. Yani sasa hivi watu wakiona ushungi tu wanajua shangazi kaja.
Nilimuona huko kwa Biden
 
Kuna tatizo gani akihudhuria? Tena Japan ni washirika wetu wakubwa wa kimaendeleo.

Unakoelekea unaenda kuwa mchawi kamili, Kwa Sasa umekosa vitendea kazi tu.
Umemjibu vyema maana watu wanamakasiliko mpaka yanapitiliza Rais Samia Suluhu kama akienda Japani atakua anaimarisha diplomasia ya uchumi maana japani ni washilika wetu wakubwa katika biashara mbalimbali
 
Back
Top Bottom