Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kuna tatizo gani akihudhuria? Tena Japan ni washirika wetu wakubwa wa kimaendeleo.Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe.
Abe alipigwa na risasi iliyosababisha kifo chake.
Yaani mpaka marehemu mwenyewe kachoka kusubiri kuzikwa muda wote huo.Huyu Shinzo Abe hajazikwaga tu hadi leo? Nafikiri kuna zaidi ya mwezi toka niskie juu ya kifo chake
At least imeijionea kwa macho yake bosi kapakiwa kwenye POLEPOLE EXPRESS huko Uingereza 😀😀Asafiri salama!
Ile Gulf Stream safari hii imeipata chamtemakuni.
Inakuuma? Kama ndivyo panda juu wende ukazibe.... alopewa kapewaaa.Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe.
Abe alipigwa na risasi iliyosababisha kifo chake.
Imeniuma nini?Inakuuma? Kama ndivyo panda juu wende ukazibe.... alopewa kapewaaa.
Enzi ya KAYAFA mlicheka sana sasa ni zamu ya wengine...
Achekaye mwisho hucheka daima.
Imekuuumaaaa pyeeeeeeeeImeniuma nini?
Au andiko langu ni wapi pameandikwa nimeumia?
Kuzurura kila siku kuomba mikopo ya kujenga vyoo, Kenya wanazurura wanaleta wawekezaji wa maana kama Microsoft, AWS etc. Pumbav