Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Habari za Jumapili.
Inavyoonekana Samia anatamani sana kumuachia Lissu kama mfalme Sedekia alivyotamani kumuachia Nabii Yeremia, ila kuhofia ushawishi wa watesi. Kama Pilato alivyotamani kumuachia Yesu ila nguvu ya watesi (wahuni) ikawa kubwa.
Na kuachiwa kwake kutakuwa ni jambo la kihistoria litakalofungua ukurasa mpya katika Taifa hili. Tunamgoja Ebidmeleki wetu afanye shauri na nafsi yake kisha amuendee Rais. Hakika naye Rais atamsikia, maana haitakuwa ni sauti ya Ebidmeleki bali Roho wa Mungu ndani yake. Na haitakuwa ni matakwa ya Rais bali ni wakati wa Mungu uliotimia. Mchakato huu wa kumuachilia utaanza kesho.
Tusome hapa chini neno la Mungu (ambalo ni somo la kwanza katika Dominika ya leo) Yeremia 38: 8-10
8 Basi, Ebedmeleki akamwendea mfalme, akamwambia,
9 “Bwana wangu mfalme, watu hawa wamefanya kitu kibaya. Wamemtumbukiza yule nabii Yeremia kisimani ambamo kwa kweli atakufa kwa njaa, kwa maana hamna chakula tena mjini.”
10 Hapo mfalme akamwamuru Ebedmeleki, Mwethiopia: “Chukua watu thelathini kutoka hapa uende ukamtoe nabii Yeremia kisimani, kabla hajafa.”