Samia kumuachia Lissu kama inavyoongelewa. Somo hili ni ushahidi

Samia kumuachia Lissu kama inavyoongelewa. Somo hili ni ushahidi

Samia ndiye aliyetoa amri Lissu atengenezewe kesi ambayo hukumu yake ni kunyongwa hadi afe na tayari wameshamuwekea sumu hata wakimuachia hachukui muda atakufa, Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea duniani.
Hii comment sio ngeni humu ndani niliona uzi flani ukafutwa akitoka Lazima aende nje clinic akacheck afya kabla chochote hii inaweza Sandia
 
Naamini wanaofanya haya matendo hawafaanyi analysis yeyote kabla ya matendo yao kujua nini kitafuata baadala ya hatua hizi na madhara yake ni nini na hatua gani tutachukua kuzuia au kudhibiti madhara yatakayotokea?.

Inaonekana na amri za hasira kuliko maamuzi ya utulivu yaliyokuwa well drafted.

Suala la Lissu kwasasa wahusika hawajui wafanye nini maana limekuwa kubwa na lenye mkanganyiko kuliko fikra zao za ubongo wa kuku, options zote walizonazo sasa hawakuzifikiria kabla na tukio la kukamatwa na kupewa treason halikuwa pre-planned na well calculated matokeo yake damage imekuwa kubwa na hakuna damage control.

Kumyonga - haikuwa plan yao, bali plan yao ilikuwa kuleta woga na kumpunguza kasi TL mpaka uchaguzi upite.
Matokeo tukio limekuwa na impact kubwa kuliko fikra zao na hawakuwa na control measures ya hizi damage.

Kumuachia sasa: itamfanya Lissu awe na nguvu zaidi na kuleta taharuki zinazoweza kuleta shida kwenye uchaguzi, itaonekana pia dola imezidiwa nguvu na wakosoaji na Kuna hatari wakosoaji wakaongeza kasi za harakati zao na kuangusha dola.

Kuendelea kumshikiria - kunazidi kuleta taharuki na sintofahamu kwenye jamii na kuzidisha harakati za kudai haki na haki kumuongezea nguvu Tundu Lissu.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Kwa akili walizotumia kuunda hila, hizohizo watumie kutengua kesi yao ya mchongo ili maisha yaendelee. Kwa sasa hapakaliki hapalaliki
 
Pitiful!

Hata kusema tu ‘Samia kumuachia Lissu’ doesn’t sound right!

Uhuru wa wananchi haupaswi kutegemea hisani ya Rais.

Nchi ina wapumbavu wengi sana!
Ni kweli kabisa nchi ina wapumbavu kuanzia wateule wa Rais hadi wananchi. Suala la Rais kuwa na final say kwenye hatma ya Lissu hilo lipo bayana hadi pale mifumo itakapojisimamia
 
Utekaji na mauaji ya wakosoaji wake, amri yake ya kutaka Fr Kitima auawe na kutaka kumnyonga Lisu, vinathibitisha huyu ni shetani halisi katika umbile la mwanamke. Hatujawahi kumpata shetani wa kiwango hiki.
 
Ni kweli kabisa nchi ina wapumbavu kuanzia wateule wa Rais hadi wananchi. Suala la Rais kuwa na final say kwenye hatma ya Lissu hilo lipo bayana hadi pale mifumo itakapojisimamia
Mifumo inawezaje kujisimamia?

Bantu logic inachekesha na kusikitisha aisee!!
 
Utekaji na mauaji ya wakosoaji wake, amri yake ya kutaka Fr Kitima auawe na kutaka kumnyonga Lisu, vinathibitisha huyu ni shetani halisi katika umbile la mwanamke. Hatujawahi kumpata shetani wa kiwango hiki.
Umesahau Mbowe alivyofungwa miezi 8 jela kisa tuhuma za ughaidi?
 
Back
Top Bottom