Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Hakika wataongozwa tu namna ya kufanya maana nje ya hapo kiburi chao kitawatafunaKesi ya kipumbaff iliyoanzishwa na mipumbaff halafu hayajui yaimalizaje!
Apambane na hali yake. Matendo yake mema ndio yatakayomsafishaNaona unajitahidi kumsafisha mtesi namba1
Duh! 😂 Bora uhuru au ushindani na fidia?Lissu SI boya, anaweza kugoma kutoka gerezani kwa huruma ya DPP Hadi aambiwe kosa lake,
Au akitoka, akadai fidia ya kupotezwa muda.
Ifike time watawala wawajibike kwa matennndo yao.
Hilo la sumu tusubiri kwanzaSamia ndiye aliyetoa amri Lissu atengenezewe kesi ambayo hukumu yake ni kunyongwa hadi afe na tayari wameshamuwekea sumu hata wakimuachia hachukui muda atakufa, Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea duniani.
eti uhaini mtu hata hana manatiKesi ya lissu ni ya kumbambikizwa...
Lissu keshasema ikiwa ana hatia na ushahidi upo , anyongwe,Duh! 😂 Bora uhuru au ushindani na fidia?
Utabiri haifai kuzingatiwaHabari za Jumapili.
Inavyoonekana Samia anatamani sana kumuachia Lissu kama mfalme Sedekia alivyotamani kumuachia Nabii Yeremia, ila kuhofia ushawishi wa watesi. Kama Pilato alivyotamani kumuachia Yesu ila nguvu ya watesi (wahuni) ikawa kubwa.
Na kuachiwa kwake kutakuwa ni jambo la kihistoria litakalofungua ukurasa mpya katika Taifa hili. Tunamgoja Ebidmeleki wetu afanye shauri na nafsi yake kisha amuendee Rais. Hakika naye Rais atamsikia, maana haitakuwa ni sauti ya Ebidmeleki bali Roho wa Mungu ndani yake. Na haitakuwa ni matakwa ya Rais bali ni wakati wa Mungu uliotimia. Mchakato huu wa kumuachilia utaanza kesho.
Tusome hapa chini neno la Mungu (ambalo ni somo la kwanza katika Dominika ya leo) Yeremia 38: 8-10
8 Basi, Ebedmeleki akamwendea mfalme, akamwambia,
9 “Bwana wangu mfalme, watu hawa wamefanya kitu kibaya. Wamemtumbukiza yule nabii Yeremia kisimani ambamo kwa kweli atakufa kwa njaa, kwa maana hamna chakula tena mjini.”
10 Hapo mfalme akamwamuru Ebedmeleki, Mwethiopia: “Chukua watu thelathini kutoka hapa uende ukamtoe nabii Yeremia kisimani, kabla hajafa.”
Duuh! Mkuu maneno ya kuogofya na kukatisha tamaa sana. Kama ni hivyo, basi huyu mama ni mnyama sanaSamia ndiye aliyetoa amri Lissu atengenezewe kesi ambayo hukumu yake ni kunyongwa hadi afe na tayari wameshamuwekea sumu hata wakimuachia hachukui muda atakufa, Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea duniani.
Sumu tena??Samia ndiye aliyetoa amri Lissu atengenezewe kesi ambayo hukumu yake ni kunyongwa hadi afe na tayari wameshamuwekea sumu hata wakimuachia hachukui muda atakufa, Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea duniani.