Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Kwenye hizi tuzo hakuna hata moja iliyopakwa ungaunga?
 

Nadhani kitakachotokea ni kama msemo wa wahenga: "What goes around,comes around".Maana yake alichofanyiwa Magufuli naye atafanyiwa.
Mhe.Chalamila,Mkuu wa Mkoa, aliwahi kudokeza mara baada ya kifo cha Magufuli kuwa Makamu wa Rais anaweza kumloga bosi wake ili yeye achukue nafasi.
Katiba imeweka mtego wa hatari sana kwa Rais aliyeko madarakani.
 
Naamini kwa sasa huu ujinga ukioandika,umekuwrka uchi wa nyama,siku nyingine kama huna uelewa,usikurupuke kuandika kitu
 
Kila siku mnajaribu kuchonganisha viongozi kwa utabiri fake halafu bado mnatanua goli! Tuwe na fikra chanya, kufikiria mabaya wanadamu wenzako ni chanzo cha kuwehuka, pale mambo unayotamani yasipotokea.
 
Tanzania siku hizi hakuna vifo vya kuumwa, ajali kwa wenye majina makubwa. Kila anayekufa kuna nadharia za njama. Zinatolewa nadharia hizo bila hata kujaribu kuweka ushahidi.

Tunatakiwa tuamini kwa mleta nadharia kusema tuamini tu, yeye ana za ndani au chini ya zulia.
 
bi mkubwa alikuwa ana nafasi ya kuizaa Tz mpya kwa kusaini katiba ya warioba ila ameona aiabort kabisa
 
Dume zima unakua mbea na muongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…