gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Vipi, tayari!?..tupe jani
Vipi, tayari!?..tupe jani
Acha uongo!Nchimbi atamuua Samia. Nchimi alimuua mtoto wa Malecela ,Ipyana kisa Uongozi UVCCM
Nashangaa mnazidi kusogeza siku 😁😁Siku mbili au tatu. J3 mbali eti...
ChoiceVariable
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Eti,kwani Lemutuz na Dk Mwele waliuawa na Nchimbie?Acha uongo!
Naamini kwa sasa huu ujinga ukioandika,umekuwrka uchi wa nyama,siku nyingine kama huna uelewa,usikurupuke kuandika kitu👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Chamwino IkuluUtabiri umefikia wapi🥳
bi mkubwa alikuwa ana nafasi ya kuizaa Tz mpya kwa kusaini katiba ya warioba ila ameona aiabort kabisaNadhani kitakachotokea ni kama msemo wa wahenga: "What goes around,comes around".Maana yake alichofanyiwa Magufuli naye atafanyiwa.
Mhe.Chalamila,Mkuu wa Mkoa, aliwahi kudokeza mara baada ya kifo cha Magufuli kuwa Makamu wa Rais anaweza kumloga bosi wake ili yeye achukue nafasi.
Katiba imeweka mtego wa hatari sana kwa Rais aliyeko madarakani.
Nchimbi si mzalendo hata kidogo.Na ndoto yake ni kuwa Rais akishamterminate Samia.Inasikitisha kunawatu wanazani Nchimbi ni mzalendo
TZ tusipo badili katiba kuondoa makamu kurisi kiti huu mchezo utaendela ndo itakua new normal.Nchimbi si mzalendo hata kidogo.Na ndoto yake ni kuwa Rais akishamterminate Samia.
Kabisa,maana ni njia rahisi ya kuwa Rais .TZ tusipo badili katiba kuondoa makamu kurisi kiti huu mchezo utaendela ndo itakua new normal.
Katiba ya Warioba itumike nyumbani kwake, tunataka katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania!bi mkubwa alikuwa ana nafasi ya kuizaa Tz mpya kwa kusaini katiba ya warioba ila ameona aiabort kabisa
Dume zima unakua mbea na muongo👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Mkuu umepotea sanaAcheni uzushi