Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Mbona ni neno la kawaida sana kwenye lugha ya kiingereza? Anyways, bila wananchi wenyewe kuamka hakuna kitakachobadilika. Watu wanasema JW utadhani hawana midomo ya kula. KUna watu wanapenda fedha kama JW?
Hapa tunarudi kwenye ushauri wa Gwajima.

Wanajua wakionekana kutounga mkono watatumbuliwa au mbaya zaidi, kwa vyombo vya usalama unaweza ukakabiliwa na capital punishment.
 
Hapa tunarudi kwenye ushauri wa Gwajima.

Wanajua wakionekana kutounga mkono watatumbuliwa au mbaya zaidi, kwa vyombo vya usalama unaweza ukakabiliwa na capital punishment.
Jeshi kama wanakubalina wale majenerali wa juu hakuna wa kuwafanya kitu. Tatizo la Bongo ni kuwa hao wenye nafasi za juu wote wana maisha mazuri sana na hawaathiriki na u-hovyo wa serikali
 
Mfano wewe nikisema unatakiwa uende alipo Saanane utalalamika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…