Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Tatizo la nchi hii sio Samia peke yake ni mfumo mzima wa ccm. Hata maraika akiwa raisi kupitia ccm hata kuwa tafauti na Samia. Kwani utawala wa samia umefanya kitu gani kipya ambocho , awamu nyingine hazikufanya?
 
Jeshi kama wanakubalina wale majenerali wa juu hakuna wa kuwafanya kitu. Tatizo la Bongo ni kuwa hao wenye nafasi za juu wote wana maisha mazuri sana na hawaathiriki na u-hovyo wa serikali
Mkuu, wale majenerali wa juu wakubaliane nini? Labda mapinduzi, na hata hivyo wanaohusika kwenye coup mara nyingi sio majenerali.

Sababu ni kwamba majenerali hawana vikosi, wanakaa makao makuu, wenye vikosi ni makanari, muda mwingine hadi makapteni.
 
Mkuu hakuna lolote. Hizi ni propaganda na huenda zinaenezwa na TISS. Yaani kwa kutumia akili ndogo tu utaona kuwa kama ni mabadiliko yangeshatokea tangu mwanzoni.
TISS?

Basi itakuwa vizuri saaaana yaani

Ukombozi wetu utaletwa na hao TISS, aliyesema Gwajimanazeshen ikule kwake

Na ndiyo maana Gwaji boy kaenda kuchukua fomu

Kumbe kuna kitu nyuma yake 😁😁😁😁
 
Alivyo na tamaa mzanzibar yule, anataka yeye tu ndio anafaa. Angeruhusu mchakato watu wachukue fomu yeye asimamie zoezi watu wapige kazi....aache tamaa tu sababu hata uzalendo hana kutukana wabeba mabango tu na mipasho ndio anazimudu😋
 
Jwtz mbona haivipangii vyama vingine au jwtz ni tawi la CCM?
 
Hivi bunge halijavunjwa bado.Sina hata habari.Anyways NRNE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…