Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
Hapa naileta kama swali, hii dhana na kauli mbiu ya Samia Mitano.Tena, kufuatia ile the spirit ya 2025, "twende na mwanamke" , hatuendi na mwanamke kwa ya jinsia yake ya kike, tunakwenda na mwanamke kwasababu ya uwezo wa mwanamke kwenye kuutumikia urais ambapo Rais Samia ameonyesha kuwa ni Kielelezo cha Uwezo wa Mwanamke Katika Uongozi kwa posti ya urais, hivyo mitano tena sio kwa rais mwanamke, bali ni mitano tena kwa rais wa JMT kwa mujibu wa katiba, ila safari hii, ame happen kuwa ni mwanamke.
Swali ni je tumpee na wabunge na madiwani wanawake wa kutosha? au mitano tena mwanamke ni kwenye urais tuu, kwenye ubunge na udiwani, tumchanganyie na midume?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Angalizo la Uchawa!.
Baada ya kuibuka fani mpya ya ajira iitwayo, uchawa, mtu akimsifu kiongozi yoyote, atanyooshewa vidole vya uchawa. Mimi jameni sio chawa hili nimelisema wazi humu na nimeliandikia makala Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
Kwa vile jf ni ukumbi wa wote, simple mind, discuss people, hawa watamjadili mtu, mleta mada!.
Ordinary mind wata discuss event.
Great mind wao wata discuss mada iliyo mezani, hivyo great mind watafollow link, watasoma ndipo watachangia!.
Karibuni
Paskali