Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Pascal. Nimesoma andiko lako pamoja na hiyo link uliyo ambatanisha, itoshe kusema hoja yako ipo katka U-Jinsia. Japokua umepinga kwenye kichwa chako Cha habari lakin kwenye andiko lako hoja yako imejikita huko 50/50. Tuache hilo.
Mimi nadhani Pascal katka mind hizo unazo taja hapo itoshe kusema wewe ni "Small mind" unaongea mtu na siyo mawazo yake pamoja sera zake.
Nadhani kama ungekua na "Great mind" unajadili idea ya mtu sidhani kama ungempigia Samia promotion kiasi hichi.
Kwa akili yangu ndogo hii nadhan Tungejikita zaidi kujadili mawazo ya mtu, na hii ingetusadia kupata viongozi ambao ni competence and visionary ambao wanaweza kulisogeza Taifa mbele na siyo kumpamba na kum-promote kama wewe unavyo fanya hivi.
Samia hotuba zake tu zinatosha kujua ni mtu wa aina gani? Huwezi sema tuzingatie 50/50 wakati huo aliyopo ameshindwa kuzifuata, yeye ndiye alitakiwa awe mfano, ameshindwa kuzitimiza, je! Kuna haja tena ya kuendelea kumwamini mtu huyu?
Anyway