Pre GE2025 Samia mitano tena sio kwasababu ni Mwanamke! Ni kielelezo cha Uwezo wa Mwanamke katika Uongozi

Pre GE2025 Samia mitano tena sio kwasababu ni Mwanamke! Ni kielelezo cha Uwezo wa Mwanamke katika Uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uhalisia ni kwamba wewe mwenyewe unajua ulichoandika sio ukweli.

Kuna watu wakuandika ilimradi wameandika. Lakini mwandishi makini, mwenye msimamo na ambae anajitambua ni sehemu ya balance and checks za nchi hawezi andika upuuzi huu.

Ndio ‘bi-tozo’, keshapitishwa na CCM, kwa mazingira ya Tanzania atashinda uchaguzi (might as well maana upinzani wenyewe hovyo), lakini uwezi kutuandikia jukwaani huyo mama ana uwezo wa kuendesha nchi.

Hata wewe deep down, unajua that’s a lie.

Tafuta namna nyingine ya ku-promote propaganda causes zako lakini sio kuandika uongo ambao ni wa wazi; hata wewe unajua .unaandika uongo.
Well Said.. Umemgonga tofali la utosini, ni kweli hata yeye anaandika kwa kujikomba tu lkn anaijua hali halisi ya Chura Kiziwi alivyo..
 
Wewe kupata cheo mpaka ukamtawaze miguu Huyo mama yenu!! Nje na hapo wewe ni nzalaa kama nzalaa wengine...pyeee
 
Back
Top Bottom